Wakwetu03
Senior Member
- Sep 15, 2010
- 194
- 87
Tiba abdallah winga moja matataMimi nilikuwa timu moja ilikuwa inaitwa Super star winga ya kulia, nilikuwa na jamaa mmoja alikuwa anaitwa Tiba baadaye akaenda ujenzi Rukwa kwa sasa sijui yupo wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiba abdallah winga moja matataMimi nilikuwa timu moja ilikuwa inaitwa Super star winga ya kulia, nilikuwa na jamaa mmoja alikuwa anaitwa Tiba baadaye akaenda ujenzi Rukwa kwa sasa sijui yupo wapi
Abou kasanga 'fundi'Nilikua natoke sinde ya magereza kipindi hicho pia nilikua shabiki mkubwa wa forest nakumbuka midle alikua akicheza abou kasanga yupo wapi mtu huyu na wote wliomaliza muungano pre school 1993
Maya Samson ni ticha wa sekondariMgaza, Maya Samson, Meshack Abel, Yona Ndabila, Ebwana vipaji sijui vimeishia wapi. Namsikia Meshack na Ndabila kidogo