Tukumbushane majina ya smartphone za zamani ambazo hazipo tena sokoni kama tecno

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Tecno m3
Tecno p3
Tecno p5
Tecno h5
Tecno h7
Tecno F5
Tecno F6
Tecno M6
Tecno M7
Tecno c8
Tecno c5
Huwawei Y 300
huwawei y200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazipo sokoni kivipi smartfone nyingi sana hata zile za mwanzoni zipo sokoni ila hizi "feature" phone ndio nyingi zimepotea sokoni.

Kumbuka smartfone nyingi kwa soko la Tanzania zimeanza kuanzia miaka ya 2010-hivi.

Kwamfano kati ya hizo ulizozitaja Tecno H5,H6 na H7 ukienda TigoShop unazikuta
 
Acha urooongo
Tigo hawana H6, H5 na H7 hawana kabisaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha urooongo
Tigo hawana H6, H5 na H7 hawana kabisaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda TigoShop yoyote ulizia kumbuka hzo H5 na H6 zilikuja na promosheni ya Tigo yaani ukinunua simu unapewa na midakika,SMS,Mb za kutumia miezi sita bure ikiwa utaweka salio la elfu kumi kila mwezi
 
Nenda TigoShop yoyote ulizia kumbuka hzo H5 na H6 zilikuja na promosheni ya Tigo yaani ukinunua simu unapewa na midakika,SMS,Mb za kutumia miezi sita bure ikiwa utaweka salio la elfu kumi kila mwezi
Upo mkoa gani mkuu?
Kama kuna namna tunaweza andikishiana tufanye hivyo mkuu tukizikuta nakupa
Usd 500.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…