Tukumbushane majina ya smartphone za zamani ambazo hazipo tena sokoni kama tecno

Upo mkoa gani mkuu?
Kama kuna namna tunaweza andikishiana tufanye hivyo mkuu tukizikuta nakupa
Usd 500.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda TigoShop Manzese utazikuta au nenda TigoShop ya Posta simu zote zilizowahi na zilizopo kwenye promosheni (including hzo brand kama Tecno H5,H6,H7 na nyinginezo)zinauzwa upande wa kushoto ukishaingia mlangoni.

Angalizo ni kuwa hizo simu zote lazima line iwe ya Tigo na kama ni dual sim basi line namba moja lazima iwe ya Tigo
 
Idios T-Mobile

Mkuu T-Mobile ni wakala za simu.Kama Tigo Au Voda.Makampuni ya simu Samsung,Apple na Nokia Kwa uchache wanaweza tengeneza simu Kwa ajili ya wakala mfano T-Mobil A6 au Tigo-TSP4.. Adios T -Mobile ni aina ya simu?
 
Sina uzoefu katika hilo ila mm nilikuw na idios imeandikw hivo
 
Back
Top Bottom