Tukumbushane mambo ya kufanya na kutofanya siku za weekend

Kwa haraka haraka niwakumbushe mawili tu

1. Kuna jela - Maamuzi na matumizi sahihi ni muhimu sana

2.Tu enjoy kidogo hasa tukijifariji " why should we die with health liver and lungs ?"

Ni haya tu kwangu
Nyongeza,
1. usiende home/geto kes boyfriend au girlfriend wako bila miadi eti kisa ni weekend
2. Akikuaga kuwa anaenda kutembelea ndugu na akifika anakimbilia kusema simu haina chaji, basi hapo achana nae
3. Usijifunze pombe weekend ili mchuchu akuelewe
4. Ikumbuke siku ya BWANA na kuitakasa
5. Tembelea sehemu ambazo zitakupa changamoto mpya za utafutaji sio ambazo zitakulemaza
Kwa sasa ni hayo tu
 
Mie kesho naenda bar kunywa vilevi
 
Back
Top Bottom