Tukumbushane mambo ya kufanya na kutofanya siku za weekend

Fanya mpango uolewe, ww sio shetani kwamba wanaume hawakutaki
Nitafutie namtaka tajiri kizito , mwambie mimi sio single mom nipo free sina hata wakuzugia nipo single na asiwe mtoto awe mzee 45 kupanda awe tayari kupimwa afya . Awe msafi anavutia endeshe gari nzuri nzuri halafu niambie mwambie najivunia kwa nywele zangu za asili na uso kama katoto kajana
 
Sasa ww kwa hvy vigezo vyako bado sana kumpata huyo tajiri mzito, jitahidi na ww upate hata kagari
 
Mbona wewe una vichache hivyo ila kwake unataka vingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…