Tukumbushane mastori ya 2018-2019

Tukumbushane mastori ya 2018-2019

Diason David

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
7,557
Reaction score
7,367
Kuna uzi wa jamaa mmoja wa alikuwa anajihita shy one huyu jamaa bhana alinifurahishagha na story yake mmoja hivi kuwa alipofika Dar akaamua atafute sehemu ya kujiliwaza kwa maana ya madada poa.

Bhana akaenda akakutana na katoto flani kanaonekana kabichi kumbe mkongwe wa shughuli wakakubalina ile wameingia ndani tu wameanza shughuli.

Mara yule sister duu akapigiwa simu na mama yake yule sister duu akamtadhalisha jamaa ngosha kuwa asimpumulie ukiwa kwa juu yake Cha kushangaza kwa yule sister duu kuwa tangu amelianzisha mechi yule sister duu haguni wala Nini Yuko bize na simu ya mama yake.

Lete link na story ilikufurahisha na kukuvutia miaka hiyo 2018 na 2019.
 
Kuna yule jamaa alitoka Kigoma kwenda Daslam akawa anatafuta msamaria wa kumpokea huko, sijui iliishiaga wapi ile.
 
Kuna yule jamaa alitoka Kigoma kwenda Daslam akawa anatafuta msamaria wa kumpokea huko, sijui iliishiaga wapi ile.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nimekumbuka sijui alipoteaaga wapi huyu jamaa nafikiri sahivi hayupo tena dar es salaam
 
Back
Top Bottom