Tukumbushane Member Maarufu Chit-chat

Tukumbushane Member Maarufu Chit-chat

Mmm haha wewe Lisa neno maspota linatumika kama una msalimu mwanamke lakini kama ni mwanaume unasema taspota!

Thanx your back! Miss you..sana..

Hahahahahaaaaaa!!!! Samahani sana mm sikufahamu kama ww ni mwanamme,ndiyo maana nikandika hivyo,
Taspota Agandi !!
 
Hili jukwaa tokea tulisuse naona limetetereka kabisa...

Mwaka 2011, 2012, 2013 .....CC ilikuwa moto wa kuotea mbali...Hata MMU ilikuwa haioni ndani...

Lipo wapi shindano la Miss Chit Chat...? Ilikuwa ni shida ingine hii..

Ila kwasasa Chit Chat imedorora kabisaa....
 
Back
Top Bottom