Tukumbushane Mijitu ambayo hailali humu jf

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Ukiachana na walinzi wetu wa kilinge....kama akina1...........na 2.........

Au wazee wetu wa kupiga ban kama akina.......1.......2........3......

Au wale wengine wa Uzi wetu pendwa ule1. ........ .....Na ule namba 2.wa .............

Pia tuwatoe wale wanaosoma kimya kimya bila kuchangia kama namba 1..........
2......
Mijitu gani mingine haijawahi kukosekana hapa jukwaani....mida ya USIKU WA MASITA...
 
Mshana Jr post zake nyingi zinaruka usiku mzitooo
 
Hakuna binadamu asiyelala. Tofauti ni kwamba tunaishi kwenye time zones tofauti na mataifa tofauti. Usitegemee walioko Australia ua Amerika wawe sawa nawe uliyeko Afrika Mashariki ambapo ukiwa umelela wao ndo kumekucha and vice versa. Hivyo, hakuna mijitu wala watu wasiolala humu jf. Ni suala la uelewa.
 
Uja

Bado ujaelewa
 
Ukiachana na walinzi wetu wa kilinge....kama akina1...........na 2.........

Au wazee wetu wa kupiga ban kama akina.......1.......2........3......

Au wale wengine wa Uzi wetu pendwa ule1. ........ .....Na ule namba 2.wa .............

Pia tuwatoe wale wanaosoma kimya kimya bila kuchangia kama namba 1..........
2......
Mijitu gani mingine haijawahi kukosekana hapa jukwaani....mida ya USIKU WA MASITA...

wewe wa kwanza kama uzi wako
 
Alisha kabiziwa vikoba huko kwao ndio maana hata uzi wake tu mzito bas mwenzio kabla ya kuufungua huwa naomba kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaah, unakemea kwanza pepo kabisa? Ila ni kweli. Unaweza ukafungua tu uzi halafu ukajikuta huelewi😳😳
 
Hakuna binadamu asiyelala. Tofauti ni kwamba tunaishi kwenye time zones tofauti na mataifa tofauti. Usitegemee walioko Australia ua Amerika wawe sawa nawe uliyeko Afrika Mashariki ambapo ukiwa umelela wao ndo kumekucha and vice versa. Hivyo, hakuna mijitu wala watu wasiolala humu jf. Ni suala la uelewa.
Sawa sabaya..
 
Back
Top Bottom