Tukumbushane Mijitu ambayo hailali humu jf

Tukumbushane Mijitu ambayo hailali humu jf

🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽

Hakuna binadamu asiyelala. Tofauti ni kwamba tunaishi kwenye time zones tofauti na mataifa tofauti. Usitegemee walioko Australia ua Amerika wawe sawa nawe uliyeko Afrika Mashariki ambapo ukiwa umelela wao ndo kumekucha and vice versa. Hivyo, hakuna mijitu wala watu wasiolala humu jf. Ni suala la uelewa.
 
Mdogo wangu mida hii São Paulo ni saa moja unusu unategemea tuwe tumelala kweli?
 
Back
Top Bottom