Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mshana Jr post zake nyingi zinaruka usiku mzitoooUkiachana na walinzi wetu wa kilinge....kama akina1...........na 2.........
Au wazee wetu wa kupiga ban kama akina.......1.......2........3......
Au wale wengine wa Uzi wetu pendwa ule1. ........ .....Na ule namba 2.wa .............
Pia tuwatoe wale wanaosoma kimya kimya bila kuchangia kama namba 1..........
2......
Mijitu gani mingine haijawahi kukosekana hapa jukwaani....mida ya USIKU WA MASITA...
Bado ujaelewaHakuna binadamu asiyelala. Tofauti ni kwamba tunaishi kwenye time zones tofauti na mataifa tofauti. Usitegemee walioko Australia ua Amerika wawe sawa nawe uliyeko Afrika Mashariki ambapo ukiwa umelela wao ndo kumekucha and vice versa. Hivyo, hakuna mijitu wala watu wasiolala humu jf. Ni suala la uelewa.
Ukiachana na walinzi wetu wa kilinge....kama akina1...........na 2.........
Au wazee wetu wa kupiga ban kama akina.......1.......2........3......
Au wale wengine wa Uzi wetu pendwa ule1. ........ .....Na ule namba 2.wa .............
Pia tuwatoe wale wanaosoma kimya kimya bila kuchangia kama namba 1..........
2......
Mijitu gani mingine haijawahi kukosekana hapa jukwaani....mida ya USIKU WA MASITA...
Huyu mshana si kwa sababu ya uganga!, anaendekeza sana mitishamba..Mshana Jr post zake nyingi zinaruka usiku mzitooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaandikaga akitokaga kutalii kigomaHuyu mshana si kwa sababu ya uganga!, anaendekeza sana mitishamba..
Unafikiri mi namuelewaga basi!, Yaani amekaa kama mgangamganga hivi!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaandikaga akitokaga kutalii kigoma
Alisha kabiziwa vikoba huko kwao ndio maana hata uzi wake tu mzito bas mwenzio kabla ya kuufungua huwa naomba kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafikiri mi namuelewaga basi!, Yaani amekaa kama mgangamganga hivi!!
Daaah, unakemea kwanza pepo kabisa? Ila ni kweli. Unaweza ukafungua tu uzi halafu ukajikuta huelewi😳😳Alisha kabiziwa vikoba huko kwao ndio maana hata uzi wake tu mzito bas mwenzio kabla ya kuufungua huwa naomba kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unazingua, daniel mbura? Mbona hawa member sijawahi kuwaona JF? Unatuenjoy..1. Sylvester Nyegu
2. daniel mbura
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mselelekoDaaah, unakemea kwanza pepo kabisa? Ila ni kweli. Unaweza ukafungua tu uzi halafu ukajikuta huelewi😳😳
Hatari hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko
Sawa sabaya..Hakuna binadamu asiyelala. Tofauti ni kwamba tunaishi kwenye time zones tofauti na mataifa tofauti. Usitegemee walioko Australia ua Amerika wawe sawa nawe uliyeko Afrika Mashariki ambapo ukiwa umelela wao ndo kumekucha and vice versa. Hivyo, hakuna mijitu wala watu wasiolala humu jf. Ni suala la uelewa.