dah bado una utumwa wa fikra jikomboeKitendo wanachofanyiwa wahdzabe kama sehemu ya kudumisha Mila na utamaduni wao siyo sahihi , hatuwezi kuwafanya ndugu zetu kivutio cha watalii.
Tuwakomboe kwenye ule utumwa ingawa wanajiona wapo sahihi.
Sidhani kama wanapata huduma hizi
-Maji safi na salama
-Matibabu bora
-Elimu
Na mahitaji mengine mengi ili tu wakae kwenye ramani ya Dunia
wahadzabe hawatendewi haki kama jamii zingine,mfano,wamasai wanadumisha tamaduni zao kwa mavazi,vyakula,nk lakini wanapata zile huduma muhimu za jamiii kama maji,elimu,afya lakini kwa wahadzabe hilo halipo.Kitendo wanachofanyiwa wahdzabe kama sehemu ya kudumisha Mila na utamaduni wao siyo sahihi , hatuwezi kuwafanya ndugu zetu kivutio cha watalii.
Tuwakomboe kwenye ule utumwa ingawa wanajiona wapo sahihi.
Sidhani kama wanapata huduma hizi
-Maji safi na salama
-Matibabu bora
-Elimu
Na mahitaji mengine mengi ili tu wakae kwenye ramani ya Dunia
True,wamasaai wapo njema kidogo,hata kielimu baadhi wapo vizuriwahadzabe hawatendewi haki kama jamii zingine,mfano,wamasai wanadumisha tamaduni zao kwa mavazi,vyakula,nk lakini wanapata zile huduma muhimu za jamiii kama maji,elimu,afya lakini kwa wahadzabe hilo halipo.
Tubishane Kwa hojadah bado una utumwa wa fikra jikomboe
Tuongeze elimu, tuongeze fursa za kiuchumi, tuongeze utamaduni wa kuhoji tamaduni zetu ili kuboresha maisha zaidi, tuongeze utamaduni wa kuishi na tamaduni za kutatua matatizo, si kuishi kwa mazoea tu.tufanye nini kama taifa tukomeshe suala hili Kiranga ?
tamaduni kama hizi ulizozitaja ni mbaya zaidi kuliko za kwetu zilizopitwa na wakati,ila ueneaji wake ni wa kasi na nguvu mno kuliko hizo za kwetu, kiukweli, hili la ushoga,usagaji, ndoa za jinsia moja linahitajika jambo moja tu kufanya, ni apatikane rais shupavu mfano wa YOWERI K. MUSEVENI wa Uganda»»Kuoa wanawake wengi ni mila iliyopitwa na wakati, lakn kuolewa na mwanaume mwenzako{ushoga ni haki za binadamu eti?} Acheni mwenye uwezo wa kuoa wake zaidi ya mmoja aoe kuliko kujikita kwenye ushoga
»»unaweza kuniwekea hapa ndoa za utoton zinaanzia miaka ngapi halafu rejea sheria ya ndoa ya nchi yako.
KUHUSU FGM, huo ni wivu tu maana waliokeketwa hawajawahi kuzidiwa chochote na abhasaghane.
KIKUBWA TUNGEWEKEZA KWENYE KUPINGA USHOGA, USAGAJI, KULA MAVYAKULA YA KIZUNGU {TUKUZE TAMADUNI ZA KWETU TUACHANE NA UFALA WA KIMAGHARIBI}
Mradi wa tohara naskia skia tetesi kwambaaali....🙄Hivi USAID wamerudi tena? Au huyu alibaki kwenye payroll
Hapo kwenye FGM nakupinga mpaka naingia kaburini huo ni ukatili wa hali ya juu yan umeanza vizuru ila kuja kusupport FGM nimekukataa mazima.»»Kuoa wanawake wengi ni mila iliyopitwa na wakati, lakn kuolewa na mwanaume mwenzako{ushoga ni haki za binadamu eti?} Acheni mwenye uwezo wa kuoa wake zaidi ya mmoja aoe kuliko kujikita kwenye ushoga
»»unaweza kuniwekea hapa ndoa za utoton zinaanzia miaka ngapi halafu rejea sheria ya ndoa ya nchi yako.
KUHUSU FGM, huo ni wivu tu maana waliokeketwa hawajawahi kuzidiwa chochote na abhasaghane.
KIKUBWA TUNGEWEKEZA KWENYE KUPINGA USHOGA, USAGAJI, KULA MAVYAKULA YA KIZUNGU {TUKUZE TAMADUNI ZA KWETU TUACHANE NA UFALA WA KIMAGHARIBI}