Tukumbushane Mila na Desturi za Kiafrika zilizopitwa na wakati

Waafrika tushatawaliwa kifikra hadfi mila zetu tunaziona zimepitwa na wakati..what a waste!
kuna mila kweli ni kandamizi,mfano,kurithi wajane,ndoa za utotoni,fgm,kupiga wanawake,mahali,nk hivyo lazima tuzipinge,lakini hao watu weupe wana tamaduni zao si nzuri kwetu nazo lazima tuzipge vita ushoga,kubadili jinsia,ndoa za jinsia moja nk
 
50/50
 
Utoaji wa mahari, kwanza inashusha utu wa mwanamke, pili hao wanawake wa sasa wamekosa sifa zilizofanya watolewe mahari mfano bikira.
 
Tafuta hela, vinginevyo mwanaume ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
Hiki ni suala la kifalsafa si suala la kuwa na hela au kutokuwa na hela.

Ila, ukishindwa kufikiri kidhahania ukaishia kusema "tafuta hela" siwezi kukulaumu.

Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.
 
Unataka uwe unapewa bure binti wa MTU?

Ebu uje uanzie kwako wengne uwe mfano ili tusiwe tunapokea mahari.

HV KATI YA USHOGA/USAGAJI NA MAHARI KIPI KINATWEZA UTU WA MWANAMKE?

Unaacha kutoa mahari kisa utaonekana umemnunua na kumtweza utu wake, LAKINI HUONI SHIDA NA UNAONA KUWA NI HAKI NA KULINDA UTU WA MWANAMKE KWA KWENDA KUMNUNUA KAMA MALAYA ULALE NAYE HADI ASBH ETI?
 
Vipi wale wanaosema wanataka 5mio kama maharii kisa ety binti yake kasoma na matunzo..... Hiyo imekaaje?
 
Wewe bado mtoto,ndoa za wake wengi zimepitwaje na wkt?
 
Wapo sahihi, hata hvo mahari ni zawadi ya lazima unayopangiwa muoji kwa ajili ya kusuza moyo wa mzazi,
Usipoweza kuna wengne ukitoa mguu wanaweka mguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…