Tukumbushane Mila na Desturi za Kiafrika zilizopitwa na wakati

Shanga huwa watu wanafikiri ni tamaduni lakini wazungu ndio walileta kwa kuwarubuni kwa rasilimali zetu
Hata Red Indians walipenda sana shanga na kufanya mapambo na urembo kumbe wanaibiwa
Wakaletewa na manyoa ndio wakamalizwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…