Tukumbushane miziki ya enzi za kina maunda zorro, vumi n.k

Kranium

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
130
Reaction score
376
Walikuwa na sauti za kuvutia na za kipekee, mwenye audio tafadhali anaweza kupandisha (ku-upload nyimbo husika)

Maunda Zorro - Nataka niwe wako

Vumilia (Vumi) - Tatizo umasikini

Weka orodha yako unayoikumbuka kipindi hicho na uliikubali kinoma...
 
Attachments

Sade

Dido

Luther Vandros, Whitney Houston, Michael Jackson (RIP)

Michael Bolton

Celine Dion

Joe Thomas

Boys II men

Mariah Carey

Enrique and Julio Iglesias

R. Kelly.

Nenda kaandae mp3 ya hao jamaa. 🔥🔥🔥🔥🔥
Thank me later.
 
Hawa madada wawili wanajua sana Maundo moto wake ulikuwa si wa kiwango cha kawaida maana alitoka na truck moja ambalo halikuhitaji promo kutembea ile nataka niwe naawe kuanzia beat la Allan Mapigo lilikuwa linapenya mpaka sakafu ya moyo.

Vumi ni dada anayejua sana sijui kwaniini hafiki wakati muwewe ana manage wasanii na wasanii wengi hata wabovu wamepita mikononi mwake na wakafanya vizuri, ngoma zake kama tatizo umasikini, Dushe dushe, utanikumbuka zote ni track matata sana.

Halafu kuna yule dada mwingine anaitwa Esther Wassira aliimba ngoma inaitwa Sheila ilikuwa matata sana.
Na Farida mke wa Roho 7 pamoja na Keisha wametisha sana enzi zetu.
 
Mume wa Vumi ni nani?
 
Mkuu nilishawahi uliza humu jukwaani kwamba Vumi yuko wapi nowdays...

Kama hutojali mkuu unaweza kunipa mbili tatu za huyu sister aliyeukonga moyo wangu na vibao vyake matata! Yuko wapi na kaolewa na nani?

Anafanya shughuli gani kwa sasa hivi?
 
Walikuwa na sauti za kuvutia na za kipekee, mwenye audio tafadhali anaweza kupandisha (ku-upload nyimbo husika)

Maunda Zorro - Nataka niwe wako

Vumilia (Vumi) - Tatizo umasikini

Weka orodha yako unayoikumbuka kipindi hicho na uliikubali kinoma...
Kweli Vumi alikuwa na sauti nzuri, sijui yuko wapi jamani
 
Mkuu nilishawahi uliza humu jukwaani kwamba Vumi yuko wapi nowdays...

Kama hutojali mkuu unaweza kunipa mbili tatu za huyu sister aliyeukonga moyo wangu na vibao vyake matata! Yuko wapi na kaolewa na nani?

Anafanya shughuli gani kwa sasa hivi?
Vumi yupo kuna siku nimemuona kwenye event moja ilikuwa imeandaliwa na watangazaji wa clouds na aliimba, kila mtu anasema anajua anajua lakini ndiyo hivyo. Ndiyo maana uwa nasema kwasasa mziki ni zaidi ya kipaji marketing na promo ni muhimu sana.
 
Kuuumbe, aiseee labda jamaa hataki tena mkewe aingie kwenye kiwanda cha music.
Huenda pia ana michongo mingine maana ka keep low profile sana halafu toka anatoka hakuwahi kuwa mtu wa kujiweka weka hadharani
 
All in all Vumilia was the best...sijui yupo wapi huyu Dada!
 
Maunda zoro si wa juzi tu hapa ana enzi gani au kwa sababu alipotea haraka kwenye game
 
Back
Top Bottom