Tukumbushane miziki ya enzi za kina maunda zorro, vumi n.k

Tukumbushane miziki ya enzi za kina maunda zorro, vumi n.k

Walikuwa na sauti za kuvutia na za kipekee, mwenye audio tafadhali anaweza kupandisha (ku-upload nyimbo husika)

Maunda Zorro - Nataka niwe wako

Vumilia (Vumi) - Tatizo umasikini

Weka orodha yako unayoikumbuka kipindi hicho na uliikubali kinoma...
Maunda Zoro - Mapenzi ya Wawili/Nafurahi - wimbo wangu pendwa!
 
Walikuwa na sauti za kuvutia na za kipekee, mwenye audio tafadhali anaweza kupandisha (ku-upload nyimbo husika)

Maunda Zorro - Nataka niwe wako

Vumilia (Vumi) - Tatizo umasikini

Weka orodha yako unayoikumbuka kipindi hicho na uliikubali kinoma...
Tatizo umasikini - Vumi
Sijawahi kuichoka hii ngoma kwakweli.
 
Nitalia nitazimia ntaposikia nimeunganishwa na jina lako by jasmine
Mbona umekwenda by Janerose
first time by Pipi
Unapokua mbali nakuwaza ww by Pipi
Nalivua pendo by mwasiti
Robo saa by Amini
njia panda by Barnaba
 
Bui bui nimekusamehe
Amini robo saa
Beka ibronzama natumaini remix
Linah nambembelzwa cover
sajna sitaki kuumizwa
S-cir madini kifungo guru
Baby madaha amore
PNC mbona
2 belly nataka kuwa nawe
Barnaba ft linah SMS
Belle 9 sumu ya penzi
Juliana ft bushoke usiende mbali.
 
Hizi sasa ndo zilikuwa nyimbo
Sio hzi takataka za sasa eti "linakuchoma"
 
Back
Top Bottom