Tukumbushane miziki ya enzi za kina maunda zorro, vumi n.k

Umetisha mkuu
Ila kuna mwamba mmoja umemsahau
Matonya-vaileth
Aisee hii ilikuwa nyimbo ya Taifa
 
Aisee BuI bui sijui alipotelea wap mtt wa THT huyu...kuna kipind nilisikia eti kawa teja pamoja na maunda zoro..sijui zilikuwa fix tu
Inawezekana ni kweli ama uzushi ila alikuwa nature talented ndo msanii wa kwanza THT akiwa na kina vumi
Ulevi ulimpoteza
 
On
Ongeza kidato kimoja by J. I
 
kwahiyo v2 wa nasonga mbele hamumuoni au...?

unique sisters zaidi yako hamuijui au mnaleta madaha..?

vipi kuhusu jack marie..?
mmemsahau au mnaviburi tu.?

View: https://youtu.be/BjdBnS4-i-k?si=B6HAEduKd29Muz5b
basi kama huyo mmemsahau vipi kuhusu keisha...?

View: https://youtu.be/tA-9g7YnU-s?si=dRfep2zizBF9WEY0
basi kama hamumjui na huyu dada je mmemsahau..?

View: https://youtu.be/8lvbNsKYLAQ?si=lJCZQ375MZsIbuBn
basi kama mmemkumbuka vipi kuhusu huyu..?

View: https://youtu.be/VVdP2B3PD3g?si=R_lrIL7dtNqRpWkF
View: https://youtu.be/HdQbzV4wWpg?si=hWMwbtrfbCYkYbDx
rukeni rukeni kama maharage mi nawazoom tu mjifanye hamumjui huyu mrembo ama pisi ya kwenda...😀

View: https://youtu.be/deYOHTy6K8E?si=Op_yg9HwyrTTSP_a
sijamaliza huyu mtoto mnamjua au mmevaa miwani tu mnatembea kama walevi..?

View: https://youtu.be/gLD09VgwHkg?si=dMXnkciq5spjXYCC
bado hamjasema nitawafundisha muziki mzuri ulilalaga kwa huyu mmama...

View: https://youtu.be/ILup09M5ZT0?si=Lar1oGc9K1fvn6w7
halafu ukatembea kwa binti kutoka kaskazini huko...

View: https://youtu.be/5h9DmD9I0k8?si=05QQq1-qvvUKcqom
halafu kijiti kikapokelewa na toto fulani hivi hili hapa...

View: https://youtu.be/NsE-eJLqKeg?si=Ud9o7Nesu431QUdc
hii dose inawatosha kwa leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…