Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache.
1:Kifo Haramu
2:Shamba Kubwa
3:Nsyuka
4:Gubu La wifi
5:Chiku na Kapili
6:Shumileta
Nawe shusha zako
 
Loleza by Adili Mkwela Chapakazi
 
The Sound of Music, Papillon, the gods must be crazy, coming to America, Mississippi masala, the good, the bad and the ugly etc
 
Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache.
1:Kifo Haramu
2:Shamba Kubwa
3:Nsyuka
4:Gubu La wifi
5:Chiku na Kapili
6:Shumileta
Nawe shusha zako
WAR BUS
 
Bongo movie kilikuwa kiwanda kizuri sana cha filamu,watu kama Musa Banzi,Mtitu game,Ray Kigosi,Steven Kanumba,Jacob Steven,Mustapha Waziri, Tuesday Kihangala,Sultan Tamba na wengineo wengi walijitahidi kuandaa na kutoa filamu nzuri.Japo walikuwa na safari kubwa kwenye kuelekea ubora zaidi lakini walifanya kazi iliyotia moyi.Kile kifo cha marehemu Kanumba sielewe kiliondoka vipi na kiwanda chetu cha filamu.Siku hizi wasanii wamekimbilia kwenye soko la TV series,Asante Mungu kwa uwepo wa wazungu waliotuletea Chumo,Bahasha,siri ya mtungi na hadithi za kumekucha:Tunu na Fatuma.
 
Nimegundua kwanini watu wanafeli mitihani....

Kutokuelewa Swali
 
Back
Top Bottom