Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

Wifi
Bahati
Kiongwe
Mzimu wa mlilo
Sitikiko lako
 
Shenaiza
Fungu la kukosa.
Jumba la dhahabu ( tamthilia)
Mambo ayo (tamthilia)
 
Nimeikumbuka Misukosuko..
Nikaenda kugoogle kama sijakosea jina nikaikuta youtube ,dah hizo ngumi kama mtu anavunga mabati...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikitiko ndio ile ya rihama na tafu??
Hapa hii ni ya yule dem alikuwa anaitwa nollar(kama sinakosema) alijidai kaokoka aliliwa had na pastor wake, mara ajidai anataka kuombewa et nyumban kwake kuna mapaka ya tembea usiku kumbe ni mbinu za kutega pastor.

Hio ya Rihama na tafu inaitwa fungu la kukosa humo rihama alikuwa anaitwa mama mateso
 
Chiku na kapili au safar
Roho mbili
Pete
Kinyamkela
Sikitiko langu
Dangerous desire
Kihongwe
Sikio la kufa
Yolanda
Dar 2 Lagos
 
Hawa wasanii waanzishe platform ya kupata hizi kazi za zamani, bila kusahau hadi ile michezo ya itv, kina tvt/tbc na channel zingine old is gold
 
Tatizo ni kiatu ni shida ile asee... Nimewahi iona mara moja tu, nimejaribu kuitafuta bila mafanikio.....
Mle ndani kuna Mrisho Mpoto, Masele cha pombe....... Daah hatari sana
“Tatizo ni Kiatu”
“Girlfriend”

Kama nimepatia title
 
Back
Top Bottom