Tukumbushane! Mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo kwenye mamlaka za serikali za mitaa

Tukumbushane! Mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo kwenye mamlaka za serikali za mitaa

dawa ni kujenga bila kibali wakija unawahonga tu, kama bwai inakuwa bwai squared
 
mfano najenga huko Sengerema kawaida 18M nyumba inakamilika, wakinipiga 2% ya 18 M ni 360,000/=

Yes ni nyingi sana maana ungeomba kibali ungelipa kati ya 100,000/= hadi max 250,000/= ,kwahiyo hapo utapigwa gharama halisi + Fine
 
Ni kweli vibali imekuwa ishu...halmashauri ya jiji la mwanza naona wanaongoza kwa usumbufu,ukifika wanakuandalia mazingira ya rushwa,nimekata tamaa sasa nimeamua nitajenga bila kibali chochote.
Niliomba kibali cha ujenzi manispaa ya Kinondoni, tangu Mwezi February 2021, Nimepata kibali October 2021

Hakuna urahisi wowote
 
Back
Top Bottom