M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 7,922 Reaction score 3,618 Oct 6, 2021 #21 dawa ni kujenga bila kibali wakija unawahonga tu, kama bwai inakuwa bwai squared
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 6, 2021 #22 mwita ke mwita said: dawa ni kujenga bila kibali wakija unawahonga tu, kama bwai inakuwa bwai squared Click to expand... Fine 2% ya gharama ya jengo + Gharama zake halisi.
mwita ke mwita said: dawa ni kujenga bila kibali wakija unawahonga tu, kama bwai inakuwa bwai squared Click to expand... Fine 2% ya gharama ya jengo + Gharama zake halisi.
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 7,922 Reaction score 3,618 Oct 6, 2021 #23 King Kong III said: Fine 2% ya gharama ya jengo + Gharama zake halisi. Click to expand... mfano najenga huko Sengerema kawaida 18M nyumba inakamilika, wakinipiga 2% ya 18 M ni 360,000/=
King Kong III said: Fine 2% ya gharama ya jengo + Gharama zake halisi. Click to expand... mfano najenga huko Sengerema kawaida 18M nyumba inakamilika, wakinipiga 2% ya 18 M ni 360,000/=
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 6, 2021 #24 mwita ke mwita said: mfano najenga huko Sengerema kawaida 18M nyumba inakamilika, wakinipiga 2% ya 18 M ni 360,000/= Click to expand... Yes ni nyingi sana maana ungeomba kibali ungelipa kati ya 100,000/= hadi max 250,000/= ,kwahiyo hapo utapigwa gharama halisi + Fine
mwita ke mwita said: mfano najenga huko Sengerema kawaida 18M nyumba inakamilika, wakinipiga 2% ya 18 M ni 360,000/= Click to expand... Yes ni nyingi sana maana ungeomba kibali ungelipa kati ya 100,000/= hadi max 250,000/= ,kwahiyo hapo utapigwa gharama halisi + Fine
M Manzile JF-Expert Member Joined Apr 23, 2020 Posts 701 Reaction score 1,900 Oct 6, 2021 #25 King Kong III said: Yes ni nyingi sana maana ungeomba kibali ungelipa kati ya 100,000/= hadi max 250,000/= ,kwahiyo hapo utapigwa gharama halisi + Fine Click to expand... mimi nimejenga mpaka imekamilika na kibali sikijui
King Kong III said: Yes ni nyingi sana maana ungeomba kibali ungelipa kati ya 100,000/= hadi max 250,000/= ,kwahiyo hapo utapigwa gharama halisi + Fine Click to expand... mimi nimejenga mpaka imekamilika na kibali sikijui
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 7, 2021 #26 Manzile said: mimi nimejenga mpaka imekamilika na kibali sikijui Click to expand... Umejenga kwenye skwata au survey area? kama skwata haina shida ila kama surveyed imekula kwako lazima waje kukupasua na 2%.
Manzile said: mimi nimejenga mpaka imekamilika na kibali sikijui Click to expand... Umejenga kwenye skwata au survey area? kama skwata haina shida ila kama surveyed imekula kwako lazima waje kukupasua na 2%.
ferg JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 1,327 Reaction score 1,800 Oct 10, 2021 #27 wa ukweli23 said: Ni kweli vibali imekuwa ishu...halmashauri ya jiji la mwanza naona wanaongoza kwa usumbufu,ukifika wanakuandalia mazingira ya rushwa,nimekata tamaa sasa nimeamua nitajenga bila kibali chochote. Click to expand... Niliomba kibali cha ujenzi manispaa ya Kinondoni, tangu Mwezi February 2021, Nimepata kibali October 2021 Hakuna urahisi wowote
wa ukweli23 said: Ni kweli vibali imekuwa ishu...halmashauri ya jiji la mwanza naona wanaongoza kwa usumbufu,ukifika wanakuandalia mazingira ya rushwa,nimekata tamaa sasa nimeamua nitajenga bila kibali chochote. Click to expand... Niliomba kibali cha ujenzi manispaa ya Kinondoni, tangu Mwezi February 2021, Nimepata kibali October 2021 Hakuna urahisi wowote
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 10, 2021 #28 Ahsante kwa muongozo...