Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wanyakyusa
-Tumoghele
-Akalindwana
-Ndondondo
kubhyara mayo kubhyara chawiza sana x2
wimbo wa wasukuma huu!!!!!
ni wee,ni weeturee---napenda wapare wanavyojimwaga ni linyimbo lao,,,,,nasikiaga ile style ya wachaga kwenye harusi yao,inakusudia kuzuia mtu kugusa mifuko yao,ndo maana wote wanashikana mikono.kuna ukweli hapo?
Wanyakyusa
-Tumoghele
-Akalindwana
-Ndondondo
naupenda huu wimbo...
Sensema malunde sensema....sina uhakika na matamshi
Kwenye harusi wachagga huwa wanatia aibu, wavivu kucheza hao...
si kwamba wanatia aibu,bali nature ya nyimbo zao ndo zatia uvivu!
Wanyakyusa
-Tumoghele
-Akalindwana
-Ndondondo
Bhamanyene...
Twisile twe bhana bha kwa Kyela
kubhyara mayo kubhyara chawiza sana x2
wimbo wa wasukuma huu!!!!!