TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wasukuma wanao ule SENSEMA MALUNDE,
Wasambaa wanao wa SEGERA JADAMKA SINA UNGOYA
hebu tuongeze ongeze ili tuzitafute ambazo tutaweza kuziweka hapa, hata watoto wetu wajue kuwa na sisi tulikuwa na nyimbo zetu za harusi, maana naona utamaduni wetu unapotea kwa kazi ya kimbunga
 
Linkatangachupuru.
Hv hii ni nyimbo ya Mkoa gani?
 
ni wee,ni weeturee---napenda wapare wanavyojimwaga ni linyimbo lao,,,,,nasikiaga ile style ya wachaga kwenye harusi yao,inakusudia kuzuia mtu kugusa mifuko yao,ndo maana wote wanashikana mikono.kuna ukweli hapo?
 
teh teh, mkuu umenchekeshaje! ngoja wachaga waje hapa. . . Nicas Mtei unaitwa hapa utoe ufwafwanuzi wa kina. . .
 
Last edited by a moderator:
Hivi harusi za kimaasai watu huwa hawarushiani mikuki kweli wakati wa kucheza?
 
Kuna wimbo mmoja wa Kipare ni mzuri sana nimeusahau jina halafu ni maarufu.
 
Back
Top Bottom