The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
ndolela ndolela mama ndolela chalungu wawe ndolela chaserereka. ( naomba radhi iwapo nimekosea matamshi)
wapi Yegomasika, M'Jr
kwa wakurya kuna ritungu na rirandi. wapi platozoom na Mwita Maranya?????
Hapa Wairaq au Wambulu watakua lazima wanahusika...
Kuna wimbo mmoja wa Kipare ni mzuri sana nimeusahau jina halafu ni maarufu.
Inatuhusu sana tupo mie nishasalia kwenye hiyo post
Mayawee nulile ee mayawe nulile msani wao chagega
Kubyara ng'wana nkima kwilolela bhanhu kaganda kaganda*2.
Usisahau bisu pembeni kwa ajili ya usalama!
wapi watu wa TANGA, MTWARA, LINDI, IRINGA, KIGOMA, MOROGORO, TABORA, RUKWA, MBEYA, PWANI??????