TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

Kubyara ng'wana nkima kwilolela bhanhu kaganda kaganda*2.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wangoni - Tuwajambasile wageni
Wangoni - Tuselebuke huu ndio maarufu mjini
Wangoni - Tumfunde mwai
Wangoni - Nigenda nepipi
Wangoni - Mkun'gunday
Wangoni - Dela dela
Wangoni - Kapungu(Kandege Karondora)
 
Mi naujua wimbo wa jandoni:

OLALE DAQAYRAA URARAY
OLALE DAQAYREE DAMOR SLAA * 2
Halafu kina mama wanaitikia heheeeee!

cc: Dena Amsi, @exellent, Gwallo nk
 
Last edited by a moderator:
Mi naujua wimbo wa jandoni:

OLALE DAQAYRAA URARAY
OLALE DAQAYREE DAMOR SLAA * 2
Halafu kina mama wanaitikia heheeeee!

cc: Dena Amsi, @exellent, Gwallo nk

Hapa Wairaq au Wambulu watakua lazima wanahusika...
 
Last edited by a moderator:
wapi watu wa TANGA, MTWARA, LINDI, IRINGA, KIGOMA, MOROGORO, TABORA, RUKWA, MBEYA, PWANI??????
 
Kuna huu hapa wa Wahehe wa Iringa, nakumbuka enzi hizo nikizamia harusi maeneo ya Kihesa lol, vujo zote ni kwenda kupata kisado cha mkangafu.

Wahehe - Wifi twende nyumbani
 
Back
Top Bottom