Tukumbushane pea ya wachezaji watukutu wakikutana ilikiwa ni vita haswa

Tukumbushane pea ya wachezaji watukutu wakikutana ilikiwa ni vita haswa

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
247
Reaction score
231
Kwa haraka haraka tuu hapa lazima uanze na Roy Keane na Patrick Viera couple nyingine ndo zifuate..... Tukumbushane pea nyingine .....View attachment 766356
IMG_20180505_105728_773.jpg
 
Hawa walikuwa wachezaji wa kikorea mmoja korea kusini na mwingine kaskazin, wakikutana ni hatari. Uwanja wa ulikuwa ni patashikanguokuchanika... Ukisikia patashika nguo kuchanika basi jina ndio lilitokea huko.
 
Mnajifanya mnachekesha kwa kujibu nje ya mada ila hamchekeshi ni kama vibwengo tu
Una umri gani mkuu? Umeanza kufatilia lini mpira hasa wa bongo? Kama hujawahi kumsikia aliyekua beki namba nne wa Dar Young Africans marehemu Athuman Juma Chama 'Jogoo' akikabana kibabe na mikwara mingi na aliyekua inside 10 wa Simba Sports Club Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' basi utakua hujui historia ya mpira wa Tanzania, seriously! Au labda mada yako ulikusudia tuchangie kwa timu za Ulaya? Kama hujui unauliza wanaojua mkuu. Kaka Chama amefariki miezi michache iliyopita lakini Zamoyoni Mogella bado yu hai na waweza hata kumtafuta ukaongea nae, bahati mbaya siwezi toa namba yake bila idhini yake
 
Back
Top Bottom