Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Kwa haraka haraka tuu hapa lazima uanze na Roy Keane na Patrick Viera couple nyingine ndo zifuate..... Tukumbushane pea nyingine .....View attachment 766356
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepsi na Coca Cola
Chama na Mogella
Mnajifanya mnachekesha kwa kujibu nje ya mada ila hamchekeshi ni kama vibwengo tuMange Kimambi na jiwe.
Je tom na jerry je? Inachekesha?Mnajifanya mnachekesha kwa kujibu nje ya mada ila hamchekeshi ni kama vibwengo tu
Hawa walikuwa wachezaji wa kikorea mmoja korea kusini na mwingine kaskazin, wakikutana ni hatari. Uwanja wa ulikuwa ni patashikanguokuchanika... Ukisikia patashika nguo kuchanika basi jina ndio lilitokea huko.Me na Ke
Una umri gani mkuu? Umeanza kufatilia lini mpira hasa wa bongo? Kama hujawahi kumsikia aliyekua beki namba nne wa Dar Young Africans marehemu Athuman Juma Chama 'Jogoo' akikabana kibabe na mikwara mingi na aliyekua inside 10 wa Simba Sports Club Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' basi utakua hujui historia ya mpira wa Tanzania, seriously! Au labda mada yako ulikusudia tuchangie kwa timu za Ulaya? Kama hujui unauliza wanaojua mkuu. Kaka Chama amefariki miezi michache iliyopita lakini Zamoyoni Mogella bado yu hai na waweza hata kumtafuta ukaongea nae, bahati mbaya siwezi toa namba yake bila idhini yakeMnajifanya mnachekesha kwa kujibu nje ya mada ila hamchekeshi ni kama vibwengo tu