kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Riwaya ya KULI inasisimua na kutia majonzi sana, kwa jinsi makuli walivyokuwa wanafanyiwa na wanyapara wao.
UCHUNGU SANa
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
hadithi ya baba naye anataka
Tumgidie b.w.e.ge.
Pesa zako zinanuka.
Lazima ufe joramu.
Kamlete akibisha mlipue.
Sifi mara mbili.
Akuanzae mlipue.
Bado mmoja.
Malaika wa shetani.
Sanda ya jambazi.
Salamu toka kuzimu.
Tutarudi na roho zetu.
Kabwe makanika jitu kumbuka.
Usiku wa balaa.
Buriani.
Hofu.
Kikosi cha kisasi.
Kufa na kupona.
Operesheni sukuma namba nane.
sasa hii riwaya inaendela au?japo kwa nimeshaona movie nyingi za aina hii lakini si mbaya na kusoma pia
sasa hii riwaya inaendela au?japo kwa nimeshaona movie nyingi za aina hii lakini si mbaya na kusoma pia
Riwaya iliyoitwa MBIO ZA JASUSI! daah, taamu sana hii hata sikumbuki mtunzi nani na niliwahi kukiona Mara moja na nikakisoma hapo hapo!
Riwaya iliyoitwa MBIO ZA JASUSI! daah, taamu sana hii hata sikumbuki mtunzi nani na niliwahi kukiona Mara moja na nikakisoma hapo hapo!
Niliwahi kupata kitabu cha huyo mtunzi kilichokua kinatangulia MBIO ZA JASUSI, bahati mbaya kurasa za mwanzo zilikua zimetoka sijaweza kujua kilikua kinaitwaje, kinaelezea safari ya mara ya kwanza ya Alex hadi alivyorudi bongo. then MBIO ZA JASUSI inakuja kuendelezea alipotekwa na kurudishwa south wakati wa ubaguzi wa rangi. Utatamani kua Jasusi tu.
Kuna kitabu kinaitwa UTOTOLE muandishi simkumbik! Nilikisoma huku ninalia..!
Kazikwa yu hai, mwandishi simkumbuki.
Mtunzi ni Hemed Kimwanga.
Alitunga pia:
Mnuko wa damu
Lazima Afe
Nani Kaua.
Riwaya iliyoitwa MBIO ZA JASUSI! daah, taamu sana hii hata sikumbuki mtunzi nani na niliwahi kukiona Mara moja na nikakisoma hapo hapo!