Hahahhahaha na mzee milongoNidhamu, Kazi, Elimu - Bagamoyo Secondary chini Mheshmiwa Kitungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah kwa faza, usipoenda kwa kanisa kesi inakuhusuAuto liberation for Africa.
tembajr, Hapo kwenye ticha wa ngeli, malizia tu 'teacher Mussa'
Nimechapwa sana mianzi na huyu teacher Mussa, ila namshukuru na ntamkumbuka mpaka siku naingia kaburini...
Chang'ombe primary school tumewakilishaaaaaa.... Education is liberation
Sent using Jamii Forums mobile app