Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Nakumbuka jinsi nilivyokesha kuandika mistari na kuanza kujitongoza mwenyewe na kujikubalia kirahisi nikidhani kutongoza na kukubaliwa itakuwa kama kumsukuma mlevi.
Nilikuwa kila nikitembea najitongoza tu Kwa mistari niliyoapa kuwa Asha hachomoi.
Nikaiandika ,nikaisoma Kwa sauti na kimoyo moyo.Kabla sijaisema nakohoa kwanza na kuweka tai vizuri (hapo Hata tai sijavaa ila akilini niliona IPO shingoni)
Nikawa natembea na karatasi ya mashairi yangu kila nilipoenda.
Mungu sio Kiranga nikakutana na mtoto ana Kwa ana akaniambia
"Nasikia inanitafuta ,unasemaje?"
Nikajiuma uma huku mdomo unatetemeka na mapigo ya moyo yanaenda mbio nikajibu.
"Hata sikutafuti "
Huyo Baharia nikasepa zangu