Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mara yangu ya kwanza kutongoza nilisema naomba nanii(mzigo) yule mtoto alikimbia hatari sijui aliona simba.
Na alikuwa anatoka kununua sukari kagiza giza ndiyo kanaingia kakaimwaga yote.
Kesi iliyokuja kuniangukia sio mchezo.
Humu JF nilimtongoza bbade kwa kumpa likes akawa anajua eti anacomment hoja za nguvu kumbe mie nalike kwasababu nimekufa kwake tu... nadhani natamani kumtongoza tena nijikumbushie.