MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Wakuu.
Heri ya mwaka mpya 2020. Pamoja na kwamba bado dakika chache tuingie mwaka mpya 2020 nimeona sisi Kama binadamu wenye mapungufu tufahamishane/tukumbushane tabia ambazo mtu hutakiwi kuvuka nazo toka mwaka mmoja kwenda mwingine, kwa lugha nyepesi namaanisha tabia ambazo lazima zifanyiwe mabadiliko hasa hasa zile zisizofaa, zinazokera au zisizo na maana.
Kwangu mimi naona tabia zifuatazo hapa chini mtu hutakiwi kuvuka nazo toka mwaka huu unaokwisha 2019 kwenda nazo 2020.
1).. Kama wewe ni mwanaume tabia ya kukaa masaa zaidi ya Saba huku huna Cha kufanya acha Mara moja.
2..) .... Matumizi ya maeno yasiyo sahihi mfano asa, xaxa, wangu, niambie, nimekumiss,, hakikisha yanaondoka na mwaka huu unaokwisha.. 2020 uwe mwaka wa kuongea sentensi zinazoeleweka.
3)..... Kuibiana wanawake/ wanaume iwe mwisho 2019, mwaka 2020 hakikisha unatafuta na kupata wa kwako.
4)..... Kubembeleza watu, vitu iwe mwisho 2019. Mwaka 2020 uwe mwaka wa ndio ni ndio au hapana ni hapana na nyeusi ni nyeusi tu sio vingine.
5.......
6......
(7)..... Kuchangia nyuzi humu jf kwa upendeleo, huu upoyoyo uisheeee mwaka 2019. Mwenzako akiweka Uzi iwe kaandika pumba au point za maana usipite bila kuchangia hata kwa kumkosoa kumulekeza au kumuonya sio vibaya.
8).........
9)..........
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app