Nussayr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 240
- 233
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aise Maisha yanabadirika sana. Enzi hizo Kaka zangu mana tupo wengi wao ndio walikumbana na Ukoloni wa Mzee!! Ila sisi wadogo ndio ilikuwa Kolon lao, Kaka mkubwa anamtuma mdogo wake kitu, then mdogo mtu anakutuma wewe kwakuwa ndio mdogo!! Siku hiyo naambiwa kamuite Bro yule anaependa kutumana akitumwa. Mimi Nikamtafuta sana nikampata. Aahh na jitihada zote zile Jamaa siakaniambia kamwambie Sijamuona. Mimi nikafika nikampa "Ujumbe kama nilivyojibiwa"... haha hahah akamfuata alishushiwa Mkong'oto mzuri tu, Nikajua yameisha. Weeeh Makwenzi niliopewa na Bro baada ya yeye kupewa mbata, hadi leo nikimuona Namuonea Huruma sana. Mana nilitamani niwe na uwezo Nimfanye kitoweo tu. Sasa ole wako Ukashtaki!! Daahh.
Nimekumbuka mbali sana. Thank mleta Uzi.[emoji23] [emoji23]