Tukumbushane ukoloni uliowahi fanyiwa na wazee wako

Tukumbushane ukoloni uliowahi fanyiwa na wazee wako

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aise Maisha yanabadirika sana. Enzi hizo Kaka zangu mana tupo wengi wao ndio walikumbana na Ukoloni wa Mzee!! Ila sisi wadogo ndio ilikuwa Kolon lao, Kaka mkubwa anamtuma mdogo wake kitu, then mdogo mtu anakutuma wewe kwakuwa ndio mdogo!! Siku hiyo naambiwa kamuite Bro yule anaependa kutumana akitumwa. Mimi Nikamtafuta sana nikampata. Aahh na jitihada zote zile Jamaa siakaniambia kamwambie Sijamuona. Mimi nikafika nikampa "Ujumbe kama nilivyojibiwa"... haha hahah akamfuata alishushiwa Mkong'oto mzuri tu, Nikajua yameisha. Weeeh Makwenzi niliopewa na Bro baada ya yeye kupewa mbata, hadi leo nikimuona Namuonea Huruma sana. Mana nilitamani niwe na uwezo Nimfanye kitoweo tu. Sasa ole wako Ukashtaki!! Daahh.
Nimekumbuka mbali sana. Thank mleta Uzi.[emoji23] [emoji23]
 
Noma Sana mzee Ali rudigi om na ki radio flan cha mkonon toka safari. Sasa c nikakichukua niende uzia sura shulen stnd 3, na Uko bahati mbaya wajanj waka nii ibia. Sasa Ile kuingia om kumbe Kuna mtu alini ona akat nachukua sasa ka shamwambia na mzee yupo kunichumia fimbo,macho yalintoka ka chura, nikapata ushaur kwa dada kwamba ni kimbie. Ile. Nafungua get tu ili ni sepe mshua uyu apa na mfyulisi mkono, aisee SITASAAU
 
hata hivyo mfyulisi hauumi,ungechapwa na kitu cha mpera ndo noma
Noma Sana mzee Ali rudigi om na ki radio flan cha mkonon toka safari. Sasa c nikakichukua niende uzia sura shulen stnd 3, na Uko bahati mbaya wajanj waka nii ibia. Sasa Ile kuingia om kumbe Kuna mtu alini ona akat nachukua sasa ka shamwambia na mzee yupo kunichumia fimbo,macho yalintoka ka chura, nikapata ushaur kwa dada kwamba ni kimbie. Ile. Nafungua get tu ili ni sepe mshua uyu apa na mfyulisi mkono, aisee SITASAAU
 
Dingi alinunua TV akawa anatuita chumbani kuangalia video kama chakachaka,bozi boziana.lakini Mara moja kwa wiki ndio tunaangalia tena akifurahi.kipindi hicho nasoma.sasa tumekuwa like TV limekufa Na mama kanunua TV tunaangalia sebuleni.hata wageni nao wanaangalia.
Big up my mama.wamama oyeeee
 
Bado unaishi home?
 
Aiseee nakumbuka mshua alikuwa zaidi ya mkoloni, nina dogo langu lilikuwa linapenda kujisaidia kwenye uzio kisa choo kipo mbali, siku ya siku mzee akamfuma alikula stick za kufa mtu na akamlazimisha kula mavi yake toka siku hiyo aliona choo kipo karibu ata kama ni night.
Mimi mwenyewe alileta stand mpya ya tv hizi za kichina sasa muda asiokuwepo uwa tunatoa tv tukalia juu mwingine anakusuma inakuwa kama starehe fulani hivi kwa ilikuwa na maraisi, sasa mwisho wa siku. nikiwa juu naendeshwa huku narukaruka ikavunjika, mzee aliporudi kauliza kila mtu kimya, akatuita chumbani alizungusha waya nne nne kwa kila mtu wenzangu uvumilivu ukawashinda wakanitaja, aiseee nilipigwa sijapata ona hadi leo alama ipo. Baada ya kipigo ikawa kila ikifika kipindi cha taarifa ananiita nashikilia tv kichwani mpaka amalize kuangalia taarifa ndio natua, it takes almost 3months ndio akaleta stand nyingine
Hahahahaha jmn uyo dingi ni hatari kama scorpion mkuu you made my day
 
Mzee wetu alitufundisha kuendesha gari bado tukiwa shuleni.Lakini yeye akiweka mafuta kwenye gari akirudi nyumbani lazima ayatoe na kuyafungia store....ukitaka gari nunua mafuta yako na ole wako uishiwe na mafuta njiani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
1. Mimi na bro tulikuwa tunatoroka shule na solution pekee ya mzee ilikuwa kutuwekea daftari la mahudhurio shule na nyumbani. Yani ukiingia asubuhi unaenda kusign na ukitoka unasign, ukifika nyumbani una sign umefika saa ngapi halafu kila mwisho wa mwezi anaenda kulinganisha! Ilikuwa aibu sana siku mwalimu alipotufuata class na daftari anatuambia tu-sign ndo tuondoke!!!

2. Yeye mbinu yake ya kujua kama TV imewashwa ni kupitisha mkono pale mbele ya screen...ole wenu akisikia kile kimlio (hata sijui nikielezeeje)

3. Pamoja na kutuchapa sana mpaka nyakati nyingine majirani walikuwa wakija kutombea msamaha (na hii baadaye tuliitumia kama defence tukiona kiboko kimezidi potelea mbali tunaanza kulia kwa nguvu mpaka majirani wanakuja wanagonga dirishani) alikuwa anaweza kutumudu wawili..yani anatukamata anatuweka katikati ya mapaja yake tunakula fimbo mpaka tufurahi.

4. Kuamka ni saa kumi na mbili...iwe likizo au siku ya shule...anasema, "Hata wagonjwa KCMC ni lazima waamke asubuhi wanyweshwe dawa!" Kulala ni saa nne. Kurudi nyimbani ni 6pm.

5. Hakuna kuvaa malapa ya dukani..zetu zilikuwa 'maraaiyoo/matairi' kisa ndo yanadumu zaidi.
 
Nakumbuka tukiwa wadogo nilivunja remote ya tv ila mama alikuwa kasafiri. Baaada kurudi kuuliza nani kaavunja akambiwa mimi basi mdogo wangu akaambiwa akaavunje fimbo akaleta fimbo kubwa kweli. Basi nikaitwa wacha nipewe fimbo na mama halafu huku naruka kichura mpaka kwenye tv.Dogo baada yakuona napewa fimbo siakacheka mama akesema mjinga wewe yani baadala umuombe msamaha ndugu yako unmcheka njoo na ww nkuchape dogo akakimbia wee nkaambiwa mlete hapa laaa sivyo fimbo zake nakuchapa wewe. Nilikimbiza nikiwa na machungu ya kuleta fimbo kumbwa nilimshika nikamburuza zaidi ya mwanafunzi wa mbeya basi wote tukaanza chapwa na kuruka vichura na mdogo wangu baadaye akatuambia kaogeni kurudi tukanunuliwa soda. RIP mama ila alinifunza kutunza na kuheshumu vitu kiwe changu au cha mtu mwngine mpaka Leo.
 
nakumbuka mim na kaka yangu hatujapishana sana, tulikuwa tunapenda mpira kuliko kula, sasa ikitokea jioni tumerudi mzee kaisha ingia. anatafuta fimbo mbili za maana tuchapane, anaanza demo tatu tatu, halafu mnaanza kuchapana hapo hadi ale sigara mbili,

sito sahau tulifungiwa kwenye chumba ambacho hakijaisha ili tusiende kucheza, bro akapenyeza kichwa kwenye nondo kikanasa. mzee alikuja kumtoa akamkanda na maji ya moto shingoni, sasa kesho yake tulishushiwa brutal hyo haijawahi tokea tena nakumbuka nilijifanya nimezimia ndo ponea yangu
 
Come to think of it, vimbwanga vingi vya madingi wa enzi zetu haikuwa ukoloni as such, bali walikuwa wanainstall discipline kwa watoto wao na kuwafunza tabia njema. Siku hizi wazazi wanachekacheka sana na vitoto vyao to the extent unaweza kutembelea nyumbani kwa mtu na kitoto kikakufukuza tu au kukwambia maneno ya aibu sana, na mzazi wake yupo akiangalia tu na kukuomba samahani. Sasa hivi dingi anaweza kupark mkoko wake na mwanae akauchukua na kuudrive tuuu bila hata ruhusa. Thubutu enzi zile uone. Kugusa hata baiskeli tu ilikuwa kama umefanya murder vile.

Mzee wangu alikuwa mkali pia. Mimi nilikuwa mtundu wa wastani kiasi kwamba akikuta tunacheza na watoto wengine labda mmoja akaumizwa na kuanza kulia, nilikuwa napewa kisago tu bila kuuliza, akiassume mimi ndo nimefanya ule msala. Kupitia hayo mapito nilijifunza ''negotiation/facilitation/peace building skills'' toka enzi hizo na nilikuwa naamua ugomvi wa watoto wenzangu mapemaa kabla mmoja hajaanza kulia..
 
Mimi kwakweli sitasahau ukoloni wa Mzee wa kununua stendi ya Tv na kuwa anaisukuma kuipeleka chumbani mara baada ya kumaliza kuangalia taarfa....ki ukweli ule kwangu nilikuona naona ni ukoloni ile mbaya

Ebu tukumbushane ukoloni wa hawa wazee wetu wa zaman
Ukoloni wa mzee wangu ni kutokusukutua mdomo anapokula nyama ya kuku lakini akila mboga za majani hupiga mswaki kabisa. Nadhani anajidanganya kwamba mabaki ya kuku hayasababishi dental decay.
 
Come to think of it, vimbwanga vingi vya madingi wa enzi zetu haikuwa ukoloni as such, bali walikuwa wanainstall discipline kwa watoto wao na kuwafunza tabia njema. Siku hizi wazazi wanachekacheka sana na vitoto vyao to the extent unaweza kutembelea nyumbani kwa mtu na kitoto kikakufukuza tu au kukwambia maneno ya aibu sana, na mzazi wake yupo akiangalia tu na kukuomba samahani. Sasa hivi dingi anaweza kupark mkoko wake na mwanae akauchukua na kuudrive tuuu bila hata ruhusa. Thubutu enzi zile uone. Kugusa hata baiskeli tu ilikuwa kama umefanya murder vile.

Mzee wangu alikuwa mkali pia. Mimi nilikuwa mtundu wa wastani kiasi kwamba akikuta tunacheza na watoto wengine labda mmoja akaumizwa na kuanza kulia, nilikuwa napewa kisago tu bila kuuliza, akiassume mimi ndo nimefanya ule msala. Kupitia hayo mapito nilijifunza ''negotiation/facilitation/peace building skills'' toka enzi hizo na nilikuwa naamua ugomvi wa watoto wenzangu mapemaa kabla mmoja hajaanza kulia..
Sure mkuu..chukua 5
 
Jambo lililokuwa linanikera mimi na sister ni kuangalia taarifa ya habari kwa lazima na kusoma TV kwa kweli ilikuwa inakera sana.
Na nilikuwa mtundu sana fundi umeme, fundi ujenzi sasa sikuwa na tabia ya kutunza vifaa nikimaliza kutumia iwe screw driver, prier au spanner mi nilikuwa naacha hapo hapo kimbembe siku mzee atake kufanya marekebisho ya kitu kilichoharibika afu akose kifaa yaani ilikuwa ni default kipigo au ukumbuke ulipokiacha kama ni ndani ila mara nyingi ilikuwa ni kuchezea mkong'oto tu
 
Da Mzee wako nae alikuwa nouma had anagusa Tv
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
du alitisha........umenikumbush mbali sana aisee
Nimekulia Lugalo ndani. Dad NI mjeda mstaafu kwa sasa. Nilipewa amri nikitoka shuleni SAA saba hakuna kwenda kutembea. Kazi NI kufungulia vifaranga vya kuku na bata na kuanza kuvichunga kunguru wasivichukue. Kikichukuliwa kifarana kazi NI kumfukuza kunguru kwa mawe mpaka nimnyang'anye hata kama kimekufa. Nakwenda kukilaza bandani. Akivihesabu vikipungua anaangalia bandani akikikuta kimekufa anakwambia KATOE KIFARANGA KIMEFIA BANDANI. akiambiwa kilichukuliwa na kunguru, viboko vya kulala mezani. Nampenda BABA yangu kwani alinifundisha kutokuwa mzururaji kama mwanafunzi wa mbeya
du pole sana mkuu
 
Dah, mimi nakumbuka siku dingi alipokuwa akilewa hata saa nane usiku mnawashwa mcheze mziki... Kesho darasani unakuwa ni wa kusinzia... Ila nampenda sana baba yangu
 
Back
Top Bottom