Tukumbushane: Ukweli kuhusu wanawake ambao kila mwanaume inabidi ajue

Tukumbushane: Ukweli kuhusu wanawake ambao kila mwanaume inabidi ajue

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
1. Wako radhi wa-share mwanaume mwenye mafanikio kuliko kushikamana na a 'loser' ambae yuko faithful kwake
2. Many do not marry for love.
3. Yule mwanamke unaemuona ni 'innocent and a nice girl' mara nyingi ni often the horniest and unlikely innocent.
4. Wengi wanaangalia muonekano, kazi yako, na nini unaweza ukawapatia, kabla ya uaminifu na tabia yako
5. Wako more sexual kuliko hata wanaume, way more.
6. Wanaweka thamani yao kwenye jinsi jamii inavyowafikiria. Unakuwa ego yake.
 
So tufanyaje sasa kina dr mauki mmekuwa wengi sana sikuhizi!!mkiachwa mnageuka public speakers
 
Ukiwa na wanawake wawili (iwe wake wenza ama vimada) halafu imetokea wamejuana na wamekua marafiki. Aisee waache wote haraka sana,

Mawili; Watakutia gonjwa la moyo, au kama mwepesi watakutoa roho.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Heeee! hujui ? Sikupi hata nauli.lt, post: 28424151, member: 65641"]Kunitoa matenga ndo kufanya nini[/QUOTE]
 
Evelyn Salt, huko Mwanza mnasemaje? Kukutoa matenga maana yake sikupi hela, nakula mzigo halafu nakuambia nitakurushia kwenye simu, halafu sirushi..
 
Back
Top Bottom