stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,750
1. Wako radhi wa-share mwanaume mwenye mafanikio kuliko kushikamana na a 'loser' ambae yuko faithful kwake
2. Many do not marry for love.
3. Yule mwanamke unaemuona ni 'innocent and a nice girl' mara nyingi ni often the horniest and unlikely innocent.
4. Wengi wanaangalia muonekano, kazi yako, na nini unaweza ukawapatia, kabla ya uaminifu na tabia yako
5. Wako more sexual kuliko hata wanaume, way more.
6. Wanaweka thamani yao kwenye jinsi jamii inavyowafikiria. Unakuwa ego yake.