Tukumbushane: Unavyonunua TV mpya, unaangaliaga vigezo gani?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.

Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi vyetu, kuchezea games, kustream online contents, kusikilizia music n.k

Sasa ebu tupeane "tips" kidogo hapa:

1. Screen Size

Hii nyepesi kuelezea na kueleweka. Tunaongelea ukubwa wa screen ya TV yako diagonally. Ukubwa wa TV uendane na ukubwa wa chumba au sehemu unayoenda kuiweka TV.

Kwa sasa angalau TV iwe na size inch 40 kwenda mbele, ingawa ata inch 32 sio mbaya.

Kama una sebule kubwa, unaweza kwenda juu zaidi hadi inch 50 au hadi 75 na kuendelea tu. Ni wewe, chumba chako na budget yako tu.
images (36).jpeg

Kuna chart special ambayo inasaidia kuchagua size ya TV yako kwa kuzingatia umbali utakao kua unakaa unavyoangalia TV.

2. Resolution

Hapa tunaongelea ubora wa picha inayotoka kwenye TV. Kufanya vitu viwe rahisi, hapa tuna TV zenye ubora wa High Definition (HD) ambayo ni 720 pixel, juu yake kidogo tuna Full HD (FHD) hii ina 1080p, juu yake tuna Ultra HD (UHD) almaharufu 4K hii ina 2160p na pia kuna 8K ila leo tuachane nayo.

Kuchagua resolution mchawi ni matumizi yako, ukubwa wa TV na source ya content utakayokua unaangalia.

Kufanya mambo yawe simple, kama unataka kuangalizia tu ving'amuzi vyetu vya hapa nchini, DSTV na Azam wanajitahidi kurusha HD channels, ambazo ni 720p wengine wote wanarusha below.

Ila kwa ushauri, angalau TV iwe na FHD ila ukipata 4K itakua poa sana, kwasababu itakusaidia kufanya matumizi kwote.

PS: TV za sasa zina technology inaitwa "upscaling" inasaidia kutoa content kutoka chini mfano 720p ionekane vizuri zaidi kwenye TV yenye resolution kubwa mfano 1080p.

Kwa lugha nyepesi, kama una TV mbili, moja HD na nyingine FHD ukaweka kwote movie moja ya HD, itaonekana vizuri zaidi kwenye TV ya FHD.

Ila sometimes upscaling inaharibu quality ya content, mfano tukiangalia Channel ya DSTV HD 720p kwenye 4K TV na FHD TV, itaonekana vizuri zaidi kwenye FHD (1080p) kuliko kwenye 4K.

3. Teknolojia ya Kioo

Plasma, QLED, OLED, LED au LCD? Mafupisho yasikutese, chagua OLED kama una budget nzuri chagua QLED. Na nyingine unaweza kuzisoma.
LCD ni technology ya zamani na LED ni weak kiasi.
Ila mchawi ni budget tu.

4. Smart au Kawaida

Kama utakua unapenda kustream online, chagua Smart TV. Pia utachagua na OS (Operating System) utakayoipenda mfano Roku, Android etc.
images (37).jpeg

Ikitokea una TV sio smart, sio case, unaweza tafuta hela ukanunua external dongle ikakusaidia kugeuza TV yako isio smart ikawa smart.

5. Ubora wa Sauti (Speakers)

Sio wote tunaunganisha TV zetu na sound bars, subwoofers au home theaters. Kwahiyo ni vema kuangalia speaker zinazokuja na TV.

Ila siku hizi speaker zinapungua ubora kwasababu wanatuforce tununue external sources za sauti na pia screen zinazidi kua nyembamba kwahiyo tusitegemee mahajabu.

6. Connectivity

Vitu vya ziada kam uwezo wa kushika Wi-fi na Bluetooth (na technology zao) ni muhimu pia kwa maisha ya sasa.

WiFi itakusaidia kuipatia TV yako internet utakapohitaji na Bluetooth ni kwaajili ya kuunganisha na sound bars usipotaka kutumia nyaya nyaya.

Connectivity pia angalia Ethernet port kama ipo, itakusaidia kuunga na internet kama wi-fi sio chaguo lako.

Vipi kuhusu port idadi ya HDMI (tena iwe HDMI 2.0 kwenda juu), ARC port?

7. Brand na Budget

Brand ni chaguo la mtu binafsi, na budget pia ni chaguo binafsi. Ila chagua brand ambayo umeshasikia mazuri yake.

Mfano Hisense na LG wanatengeneza TV nzuri. Ila kuna brand za China kama TCL na wengine wanafanya vema. Sisikii mazuri ya Samsung ila wengine watasaidia kwa ili.

8. HDR & Refresh Rate

HDR "high dynamic range" ni technology inayosaidia kukupa more realistic colors kwenye picha unayoangalia.
images (38).jpeg

HDR ipo kwenye 4K TV tu na haina ni technology inayoendelea kukua, kwa sasa TV mpya zaidi zina HDR10+

Refresh Rate inasaidia kwa wapenzi wa games, especially kama unaunganisha na Play Station consoles. A minimum iwe 60Hz refresh rate ila ukipata 120Hz unyama na nusu.
images (39).jpeg

Higher refresh rate inakupa smooth movement especially kama unaangalia sports, gamea au movies zenye actions nyingi.

Mi nimeona nishee ivo nane (8) wengine watasaidia kuongeza au kidadavua zaidi.
 
Hongera mkuu uzi mzuri nmependa clarification za resolution HD, FHD,

Kwenye brand bana Samsung & LG zina ubora wake hasa kwenye resolution ukitaka kugundua hilo compare kati ya LG/Samsung Vs Hisense inch 50" and above ukitumia inc 43" kushuka chini unaweza usione vizuri utofauti tumia king'amuzi either DStv au Azam weka chaneli moja tv mbili utofauti ni mkubwa.

TV kubwa Samsung & LG zinabaki kuwa na best resolution mchawi bajeti. Ingawa Hisense nayo ni bora kwenye unafuu wa bajeti na duration
 
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.

Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi vyetu, kuchezea games, kustream online contents, kusikilizia music n.k

Sasa ebu tupeane "tips" kidogo hapa:

1. Screen Size

Hii nyepesi kuelezea na kueleweka. Tunaongelea ukubwa wa screen ya TV yako diagonally. Ukubwa wa TV uendane na ukubwa wa chumba au sehemu unayoenda kuiweka TV.

Kwa sasa angalau TV iwe na size inch 40 kwenda mbele, ingawa ata inch 32 sio mbaya.

Kama una sebule kubwa, unaweza kwenda juu zaidi hadi inch 50 au hadi 75 na kuendelea tu. Ni wewe, chumba chako na budget yako tu.
View attachment 3002212
Kuna chart special ambayo inasaidia kuchagua size ya TV yako kwa kuzingatia umbali utakao kua unakaa unavyoangalia TV.

2. Resolution

Hapa tunaongelea ubora wa picha inayotoka kwenye TV. Kufanya vitu viwe rahisi, hapa tuna TV zenye ubora wa High Definition (HD) ambayo ni 720 pixel, juu yake kidogo tuna Full HD (FHD) hii ina 1080p, juu yake tuna Ultra HD (UHD) almaharufu 4K hii ina 2160p na pia kuna 8K ila leo tuachane nayo.

Kuchagua resolution mchawi ni matumizi yako, ukubwa wa TV na source ya content utakayokua unaangalia.

Kufanya mambo yawe simple, kama unataka kuangalizia tu ving'amuzi vyetu vya hapa nchini, DSTV na Azam wanajitahidi kurusha HD channels, ambazo ni 720p wengine wote wanarusha below.

Ila kwa ushauri, angalau TV iwe na FHD ila ukipata 4K itakua poa sana, kwasababu itakusaidia kufanya matumizi kwote.

PS: TV za sasa zina technology inaitwa "upscaling" inasaidia kutoa content kutoka chini mfano 720p ionekane vizuri zaidi kwenye TV yenye resolution kubwa mfano 1080p.

Kwa lugha nyepesi, kama una TV mbili, moja HD na nyingine FHD ukaweka kwote movie moja ya HD, itaonekana vizuri zaidi kwenye TV ya FHD.

Ila sometimes upscaling inaharibu quality ya content, mfano tukiangalia Channel ya DSTV HD 720p kwenye 4K TV na FHD TV, itaonekana vizuri zaidi kwenye FHD (1080p) kuliko kwenye 4K.

3. Teknolojia ya Kioo

Plasma, QLED, OLED, LED au LCD? Mafupisho yasikutese, chagua OLED kama una budget nzuri chagua QLED. Na nyingine unaweza kuzisoma.
LCD ni technology ya zamani na LED ni weak kiasi.
Ila mchawi ni budget tu.

4. Smart au Kawaida

Kama utakua unapenda kustream online, chagua Smart TV. Pia utachagua na OS (Operating System) utakayoipenda mfano Roku, Android etc.
View attachment 3002216
Ikitokea una TV sio smart, sio case, unaweza tafuta hela ukanunua external dongle ikakusaidia kugeuza TV yako isio smart ikawa smart.

5. Ubora wa Sauti (Speakers)

Sio wote tunaunganisha TV zetu na sound bars, subwoofers au home theaters. Kwahiyo ni vema kuangalia speaker zinazokuja na TV.

Ila siku hizi speaker zinapungua ubora kwasababu wanatuforce tununue external sources za sauti na pia screen zinazidi kua nyembamba kwahiyo tusitegemee mahajabu.

6. Connectivity

Vitu vya ziada kam uwezo wa kushika Wi-fi na Bluetooth (na technology zao) ni muhimu pia kwa maisha ya sasa.

WiFi itakusaidia kuipatia TV yako internet utakapohitaji na Bluetooth ni kwaajili ya kuunganisha na sound bars usipotaka kutumia nyaya nyaya.

Connectivity pia angalia Ethernet port kama ipo, itakusaidia kuunga na internet kama wi-fi sio chaguo lako.

Vipi kuhusu port idadi ya HDMI (tena iwe HDMI 2.0 kwenda juu), ARC port?

7. Brand na Budget

Brand ni chaguo la mtu binafsi, na budget pia ni chaguo binafsi. Ila chagua brand ambayo umeshasikia mazuri yake.

Mfano Hisense na LG wanatengeneza TV nzuri. Ila kuna brand za China kama TCL na wengine wanafanya vema. Sisikii mazuri ya Samsung ila wengine watasaidia kwa ili.

8. HDR & Refresh Rate

HDR "high dynamic range" ni technology inayosaidia kukupa more realistic colors kwenye picha unayoangalia.
View attachment 3002218
HDR ipo kwenye 4K TV tu na haina ni technology inayoendelea kukua, kwa sasa TV mpya zaidi zina HDR10+

Refresh Rate inasaidia kwa wapenzi wa games, especially kama unaunganisha na Play Station consoles. A minimum iwe 60Hz refresh rate ila ukipata 120Hz unyama na nusu.
View attachment 3002222
Higher refresh rate inakupa smooth movement especially kama unaangalia sports, gamea au movies zenye actions nyingi.

Mi nimeona nishee ivo nane (8) wengine watasaidia kuongeza au kidadavua zaidi.
Ubarikiwe Kwa elimu hii
 
Naomba kujua kuhusu vioo maana nasikia mala nyingine zinavioo viwili nyingine kioo kimoja
Pia nawezaje kuzitofautisha yani nikionyona tv nijue hii Ina kioo kimoja ama viwili
Mwisho napenda kujua ipi ni bora kwa matumizi ya nyumbani ya kiafrica Kati ya izo mbili yani yenye kioo kimoja na yenye vioo viwili
 
Sjui kuhusu vyote ivo ila ukinipa lg 65 inches 4k (16k, q led kwa content ipi source ntapata? 4k inatosha, vingamuzi vyetu vyenyewe 1080 pixle za mchongo) ikiwa model ya 2020 and above ( ikiwa korea model ni nzuri zaidi) ntachukua. Sababu ni uwezo wake mzuri wa kuvumilia umeme wetu wa mchongo as compared to samsung na hisense tcl. Sony bado wazito kwenye kuenda na soko
 
Back
Top Bottom