Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #21
Sema bro, Apple hawatengenezi TV (tunamaanisha screen). Apple TV 4K ni streaming services.Ongeeni yote,ila Retina Display Kiboko,Kuna Uzi umesema watumiaji wa Apple wanaibiwa,Sasa hiyo Retina Display ipo kwenye Apple TV tu,na Vioo vya Laptops za apple,ni Hatari hata nje kwenye Jua Kali wazungu wanaonekana..
Device peke yake inauzwa $130 na unahitaji subscription ambayo ni $9 kwa mwezi.
Kwa lugha nyepesi Apple TV ni kama Roku au Chromecast.