Tukumbushane: Unavyonunua TV mpya, unaangaliaga vigezo gani?

Ongeeni yote,ila Retina Display Kiboko,Kuna Uzi umesema watumiaji wa Apple wanaibiwa,Sasa hiyo Retina Display ipo kwenye Apple TV tu,na Vioo vya Laptops za apple,ni Hatari hata nje kwenye Jua Kali wazungu wanaonekana..
Sema bro, Apple hawatengenezi TV (tunamaanisha screen). Apple TV 4K ni streaming services.


Device peke yake inauzwa $130 na unahitaji subscription ambayo ni $9 kwa mwezi.

Kwa lugha nyepesi Apple TV ni kama Roku au Chromecast.
 
Sony wamekimbizwa sana. Yeah hapo kwenye QLED mikono juu.
 
Kua na double screen ni maneno ya wafanyabiashara wa Kariakoo na TV za China. Brand kubwa hawanaga iyo kitu mkuu.

Ila kama inaongeza durability bila kuathiri quality nadhani ni vizuri kuinunua.

Ila bado nawaza double screen ya nn kwenye TV wakati TV nimeiweka tu pale kwenye Ukuta. Bora simu nazunguka nayo.
 
Mbona nme-google hy external dongle lkn nimepewa maelezo tofauti na yako.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…