TUKUMBUSHANE UZI BORA ZA 2017.

kangau

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
258
Reaction score
258
Zikiwa zimebaki siku 8 kuumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha 2018. Tushirikishane uzi zilizo kufunza mambo mengi nakukufanya uwe na ahaaa moments katika maisha ya 2017.

Baathi a nyuzi zilizo ni funza mambo mengi ni kama
Hizi ni baathi tu, ila najua wakongwe wa JF watatushirikisha nyingi ili tulio zikosa tupate kuzipitia na kujifunza.
 
Uzi wa Jembekillo wa kupeana likes, huu ni zaidi ya Uzi. Uzi huu ni kituo cha elimu, kituo cha burudani na kituo cha michezo. Wote waliokita kambi hapo angalau siku moja tu kwa wiki na kuzipitia comments za memba wa uzi huo wamejifunza kitu na kupata burudani walizozikosa hapa jamiifirums.
 

Nimeongezea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…