Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

kuna tamthilia zingine za mkono Nikita ambayo star alikuwa huyu dada anaitwa Sia saiv na mwanamziki...na ingine ni beast master
ngoja kwanza sia ndio ali star kwenye og la femme nikita..,awesome sasa mbona haonrshagi sura na wakati ni mzur tu
 
Clouds kumuangusha mzee mengi wanakazi kubwa ya kufanya kwa hali hii
 
ITV walikuwa the best
V
Mortal kombat
A- team
The simpson
The Fresh Prince
The cosby show
Family Matters
Perfect strangers

CTN
Cartoon Networks
TNT

DTV
Superman
Knight Rider
The X- Files
Batman cartoon
Samorai X
samurai x naaangalia mpaka leo inaitwa rurouni kenshin...yaani wandering samurai ila walioirusha marekani mdii wkaidub samurai x...ipo hadi live action movie yake battoussai the manslayer....kali sana ile kitu sema watu hawajaisoma 2
 
ngoja kwanza sia ndio ali star kwenye og la femme nikita..,awesome sasa mbona haonrshagi sura na wakati ni mzur tu
Haha we jamaaa wewe eti sia....yule demu anaitw peta wilson while sia jina lake ni sia
 
samurai x naaangalia mpaka leo inaitwa rurouni kenshin...yaani wandering samurai ila walioirusha marekani mdii wkaidub samurai x...ipo hadi live action movie yake battoussai the manslayer....kali sana ile kitu sema watu hawajaisoma 2
Samorai X ni mwisho, ilikuwa anaonesha alhamis jion nakumbuka mxa ambao samorai X inaoneshwa hakuna mtu hata moja utamuona uwanja wa mpira mpka ishe
Kuna movie zake ninazo zimetoka 2012 na 2014 kama sikosei ninazo kwny libery yangu
 
Nilikuwa nafuatilia ingawa cjui wanaongea nn, mpaka inaisha niko nayo
Hahah sasa ulikuwa hujui wanaongea nini wewe ulikuwa fuata upepo mkuu
 
CTN walikuwa na movie fulani za kizamani sana, zilikuwa zinaitwa TNT Classic Movies. Nilikuwa napoteza muda sana kuziangalia hizi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Walikuwa wanaanza kuzionyesha kuanzia saa tisa mchana huboreki yani CTN ilikuwa moto sana enzi hizo mkuu
 
Mkuu enzi zile kibonde c alikuwa CTN na alikuwa akitangaza kipindi cha habari michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…