Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Daaaaaaaaaaaaaaaah we Jamaaaa Samcezar nimekukubali Sana afu huwezi amini Jamaa kibao wananiuliza umelitoa wapi hili tangazo nimewaambia nimeenda itv [emoji23] hahahah asante sana good Memories mkuu upo vzr sn kaka
 
Daaaaaaaaaaaaaaaah we Jamaaaa Samcezar nimekukubali Sana afu huwezi amini Jamaa kibao wananiuliza umelitoa wapi hili tangazo nimewaambia nimeenda itv [emoji23] hahahah asante sana good Memories mkuu upo vzr sn kaka
Ha ha ha ha ha ha we jamaa umewafix ....ha ha ha ha ha hiyo ni shida.
 
Bo Brady, Marlena Evans, John Black, Hope,Stephano Dimera etc..hawa ilikuwa ikifika saa 2 kasorobo usiku lazima uangalie days of our lives CTN
 
Kifuatacho ITV, yule dada muhindi ndo alikuwa anasema kifuatacho ITV na kutoa muhtasari kidogo kama ni tamthilia, nakumbuka tamthilia ya Acapulco, na moja ilikuwa kali sana nimesahau jina ila ina neno beach!
Sunset beach
 
Hili tangazo lilikubalika sana na wadau wengii kipindi kila safi sana mleta tangazo
 
Samcezar upo vzr ndugu Kisare angu
 
Hata Bunge Live kwa sisi wastaafu kilikuwa kinatupa matumaini ya kiendelea kuishi
 
Wengine tulikuwa bado hatujaingia mjini! Duh..tumetoka mbali.

Nakumbuka nimeingia mjini ndo stand imehamia Ubungo from Kisutu! Ikawa shughuli kumtafuta mwenyeji wangu...na mvua ilikuwa inanyesha....

Huyu Mungu yupo aiseee..ambaye haamini hana budi kuamini! Some of us are the living testimony!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…