Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Aiseee...[emoji22]
Enzi izo jmos asubuh mida ya saa tano hiv itv lazma waweke pointman, badae usiku robocop,

Perfect strangers hao jamaa nliwapenda sana vituko vyao.....dooh!
 
CTN walikuwa na movie fulani za kizamani sana, zilikuwa zinaitwa TNT Classic Movies. Nilikuwa napoteza muda sana kuziangalia hizi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Yaaah....nakumbka hata mama alimnunulia dada angu gauni flan hv limejaa kuanzia kiunon kushka chin....wakawa wanaliita gauni la TNT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…