Tukumbushane visa vya pombe

Tukumbushane visa vya pombe

Kichangiri

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
331
Reaction score
675
Wasalaam bandugu katika jukwaa hili

Leo nimeona tushirikishane visa vilivyowahi kukutokea, au umewahi kushuhudia mtu anaumbuka kisa pombe?

Mimi siku nimetoka redstone club moshi nimekula pombe sana na mwanangu mmoja, tukatoka na akili timamu mwendo tee tee tukaingia kwenye kacarina ketu tukaondoka swalama, kufika home tumeingi tuu getini tukazima, geti tuliacha wazi, gari hatukuzima wala hatukuingia ndani,

Tulistuka asubuhi saa nne baada ya kupigwa jua la kutosha[emoji23][emoji23]. Tangu siku hiyo monde nmeacha kabisa

Embu tupe kisa chako tufurahi kidogo
 
Asee me ninavyo vingi hata kuvisimulia naona uvivu ngoja niandike kwa KIFUPI niliyowahi yafanya
Nshalewa nikatembea natoka tabata naenda vingunguti nikafika kwenye nyumba ya watu nikaanzisha fujo baada ya wao kunikuta nimelala bafuni kwao

Nshalewa nikabomoa mlango wa nyumba ya watu kisa natafuta simu yangu ambayo niliiacha chaji.pombe buana!

Nshalewa nikaenda kulala chumban Sasa nikashtuka usiku bado POMBE zipo kichwani.nikawasha taa za nyumba yote na tv na afu nikaanza kujaribisha soksi zangu na viatu vyote

Nshalewa nikabamiza kchwa kwenye ukuta baada tu ya kushushwa kwenye bajaji

Nshalewa nikachanganya kabeji mbichi na uji ule wa ugali nikaanza kusonga eti lengo langu ugali ukiiva Nile moja kwa moja yaani mboga ziivie kwa ndani

Ntaendelea mengine nikikumbuka

My take:konyagi,valuer,banana nzela sio chai asee
 
Mkuu umetisha sana. Mi konyagi, valuer na kvant naziona kama sumu kabisa
 
Bado utakuwa umelewa
 
Naomba kuwasikisha
images-1.jpeg
images.jpeg
 
Matukio mengi na yakusikitisha ni yale ya watu kufanya ngono zembe baada ya kulewa wakisingizia ilikua akili ya pombe...

Kuna mwaka mpya fulani hivi, tulikua crew na mademu fulani hivi maeneo fulani hivi wengine wanajihusisha na bongo flavour, pombe zilipowazidi hao mademu wakachojoa nguo zao za ndani kwamba zinawatia uzito...

Kilichoendelea hapo...

Cc: mahondaw
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] endeleeni jamani nacheka sana na visa vyenu
 
Sesten Zakazaka pita hapa na weye sijui kama ile zamani yako haukuwahi kupata kisa hata kimoja kwa kweli.

[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] naskiza hapa. Hahahaaa.
 
Mimi nilikua mchombezaji zaidi na muhamasishaji lakini mwenyewe nilikua na kipimo changu flani hivi sizidishi hata kidunchu
😎😎😎
 
Wacha weeeee. Hivyo visa vikawa vinakupita pembeni lol.

Ila bora umeshaacha maana huo uhamasishaji na uchombezaji ungeshauhama ukawa na weye mzidishaji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asee me ninavyo vingi hata kuvisimulia naona uvivu ngoja niandike kwa KIFUPI niliyowahi yafanya
Nshalewa nikatembea natoka tabata naenda vingunguti nikafika kwenye nyumba ya watu nikaanzisha fujo baada ya wao kunikuta nimelala bafuni kwao

Nshalewa nikabomoa mlango wa nyumba ya watu kisa natafuta simu yangu ambayo niliiacha chaji.pombe buana!

Nshalewa nikaenda kulala chumban Sasa nikashtuka usiku bado POMBE zipo kichwani.nikawasha taa za nyumba yote na tv na afu nikaanza kujaribisha soksi zangu na viatu vyote

Nshalewa nikabamiza kchwa kwenye ukuta baada tu ya kushushwa kwenye bajaji

Nshalewa nikachanganya kabeji mbichi na uji ule wa ugali nikaanza kusonga eti lengo langu ugali ukiiva Nile moja kwa moja yaani mboga ziivie kwa ndani

Ntaendelea mengine nikikumbuka

My take:konyagi,valuer,banana nzela sio chai asee
Hahahaha! Daah mkuu Hii ni bangi sasa wallahi.

Nakushauri tu uache pombe kama mambo yenyewe ndio haya
 
Mimi nimeshawahi kulewa nikaenda home mapema kabisa nikaingia chumbani nikajifungia kumbe nimemfungia wife aisee. Amekuja amegonga mlango mpaka asubuhi

Kitu kibaya kwangu kuhusu pombe ni kwamba nikishalewa tu kila mwanamke namuona mzuri yaani naweza gonga demu nikimuona kesho yake naona aibu. Haya mambo ya pombe kwa kweli ni balaa tupu. Natamani sana kuacha ila ndio hvyo tena [emoji19]
 
Wacha weeeee. Hivyo visa vikawa vinakupita pembeni lol.

Ila bora umeshaacha maana huo uhamasishaji na uchombezaji ungeshauhama ukawa na weye mzidishaji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile kitu wee acha tu Hajar, inashetani mbaya maana waeza ifuata hata kilometer kumi kama kuna kampani huko
 
Back
Top Bottom