Kichangiri
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 331
- 675
Wasalaam bandugu katika jukwaa hili
Leo nimeona tushirikishane visa vilivyowahi kukutokea, au umewahi kushuhudia mtu anaumbuka kisa pombe?
Mimi siku nimetoka redstone club moshi nimekula pombe sana na mwanangu mmoja, tukatoka na akili timamu mwendo tee tee tukaingia kwenye kacarina ketu tukaondoka swalama, kufika home tumeingi tuu getini tukazima, geti tuliacha wazi, gari hatukuzima wala hatukuingia ndani,
Tulistuka asubuhi saa nne baada ya kupigwa jua la kutosha[emoji23][emoji23]. Tangu siku hiyo monde nmeacha kabisa
Embu tupe kisa chako tufurahi kidogo