Kichangiri
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 331
- 675
Asee me ninavyo vingi hata kuvisimulia naona uvivu ngoja niandike kwa KIFUPI niliyowahi yafanya
Nshalewa nikatembea natoka tabata naenda vingunguti nikafika kwenye nyumba ya watu nikaanzisha fujo baada ya wao kunikuta nimelala bafuni kwao
Nshalewa nikabomoa mlango wa nyumba ya watu kisa natafuta simu yangu ambayo niliiacha chaji.pombe buana!
Nshalewa nikaenda kulala chumban Sasa nikashtuka usiku bado POMBE zipo kichwani.nikawasha taa za nyumba yote na tv na afu nikaanza kujaribisha soksi zangu na viatu vyote
Nshalewa nikabamiza kchwa kwenye ukuta baada tu ya kushushwa kwenye bajaji
Nshalewa nikachanganya kabeji mbichi na uji ule wa ugali nikaanza kusonga eti lengo langu ugali ukiiva Nile moja kwa moja yaani mboga ziivie kwa ndani
Ntaendelea mengine nikikumbuka
My take:konyagi,valuer,banana nzela sio chai asee
Bado utakuwa umelewaAsee me ninavyo vingi hata kuvisimulia naona uvivu ngoja niandike kwa KIFUPI niliyowahi yafanya
Nshalewa nikatembea natoka tabata naenda vingunguti nikafika kwenye nyumba ya watu nikaanzisha fujo baada ya wao kunikuta nimelala bafuni kwao
Nshalewa nikabomoa mlango wa nyumba ya watu kisa natafuta simu yangu ambayo niliiacha chaji.pombe buana!
Nshalewa nikaenda kulala chumban Sasa nikashtuka usiku bado POMBE zipo kichwani.nikawasha taa za nyumba yote na tv na afu nikaanza kujaribisha soksi zangu na viatu vyote
Nshalewa nikabamiza kchwa kwenye ukuta baada tu ya kushushwa kwenye bajaji
Nshalewa nikachanganya kabeji mbichi na uji ule wa ugali nikaanza kusonga eti lengo langu ugali ukiiva Nile moja kwa moja yaani mboga ziivie kwa ndani
Ntaendelea mengine nikikumbuka
My take:konyagi,valuer,banana nzela sio chai asee
[emoji15] [emoji15]Bado utakuwa umelewa
Mkuu nowdays Mambo Safi bila michemsho sigusi pombeBado utakuwa umelewa
Mimi nilikua mchombezaji zaidi na muhamasishaji lakini mwenyewe nilikua na kipimo changu flani hivi sizidishi hata kidunchuSesten Zakazaka pita hapa na weye sijui kama ile zamani yako haukuwahi kupata kisa hata kimoja kwa kweli.
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] naskiza hapa. Hahahaaa.
Wacha weeeee. Hivyo visa vikawa vinakupita pembeni lol.Mimi nilikua mchombezaji zaidi na muhamasishaji lakini mwenyewe nilikua na kipimo changu flani hivi sizidishi hata kidunchu
πππ
Hahahaha! Daah mkuu Hii ni bangi sasa wallahi.Asee me ninavyo vingi hata kuvisimulia naona uvivu ngoja niandike kwa KIFUPI niliyowahi yafanya
Nshalewa nikatembea natoka tabata naenda vingunguti nikafika kwenye nyumba ya watu nikaanzisha fujo baada ya wao kunikuta nimelala bafuni kwao
Nshalewa nikabomoa mlango wa nyumba ya watu kisa natafuta simu yangu ambayo niliiacha chaji.pombe buana!
Nshalewa nikaenda kulala chumban Sasa nikashtuka usiku bado POMBE zipo kichwani.nikawasha taa za nyumba yote na tv na afu nikaanza kujaribisha soksi zangu na viatu vyote
Nshalewa nikabamiza kchwa kwenye ukuta baada tu ya kushushwa kwenye bajaji
Nshalewa nikachanganya kabeji mbichi na uji ule wa ugali nikaanza kusonga eti lengo langu ugali ukiiva Nile moja kwa moja yaani mboga ziivie kwa ndani
Ntaendelea mengine nikikumbuka
My take:konyagi,valuer,banana nzela sio chai asee
Ile kitu wee acha tu Hajar, inashetani mbaya maana waeza ifuata hata kilometer kumi kama kuna kampani hukoWacha weeeee. Hivyo visa vikawa vinakupita pembeni lol.
Ila bora umeshaacha maana huo uhamasishaji na uchombezaji ungeshauhama ukawa na weye mzidishaji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]