Mkuu, waumini wakikuona jinsi unavyo nichafua mimi mtumishi, wallah utapa laanaMbona husemi vituko vyako ukilewa? Au niviseme mimi [emoji12]
Kuna Mshkaji Wangu Mmoja Alikuwa Anakunywa Kwenye Kiduka Flank(hapo hapo anauza bia na bidhaa nyingine mf sukari,ngano,karanga etc), Sasa Kapiga Bia Halafu Kulipa Akawa Anazingua Yule Muuzaji Akasubiri Jamaa Akaenda Toilet Akachukua Bia (ilikuwa nusu) akaificha ,Mshkaji Kurudi Akamwambia Nipe Bia Yangu ,Muuzaji Akasema Sikupi Had Unilipe Hela Zangu Za Mwanzo
Jamaa Akawa Anahesabu Moja(nipe bia),Mbili(nipe bia),tatu(nipe bia) muuzaji kagoma,
Akafungua Zipu Akatoa M**o Akakojolea Unga Wa Ngano,Mchele,Karanga
[emoji23] [emoji23]Kuna Mshkaji Wangu Mmoja Alikuwa Anakunywa Kwenye Kiduka Flank(hapo hapo anauza bia na bidhaa nyingine mf sukari,ngano,karanga etc), Sasa Kapiga Bia Halafu Kulipa Akawa Anazingua Yule Muuzaji Akasubiri Jamaa Akaenda Toilet Akachukua Bia (ilikuwa nusu) akaificha ,Mshkaji Kurudi Akamwambia Nipe Bia Yangu ,Muuzaji Akasema Sikupi Had Unilipe Hela Zangu Za Mwanzo
Jamaa Akawa Anahesabu Moja(nipe bia),Mbili(nipe bia),tatu(nipe bia) muuzaji kagoma,
Akafungua Zipu Akatoa M**o Akakojolea Unga Wa Ngano,Mchele,Karanga
Hahaha..Wife ulimwambiaje kesho yake sasa mkuu??Mimi nimeshawahi kulewa nikaenda home mapema kabisa nikaingia chumbani nikajifungia kumbe nimemfungia wife aisee. Amekuja amegonga mlango mpaka asubuhi
Kitu kibaya kwangu kuhusu pombe ni kwamba nikishalewa tu kila mwanamke namuona mzuri yaani naweza gonga demu nikimuona kesho yake naona aibu. Haya mambo ya pombe kwa kweli ni balaa tupu. Natamani sana kuacha ila ndio hvyo tena [emoji19]
Ndio mkuu ipo town..ilikuwa official beer kule russia kwenye world cup
nasikia hii bia ipo mjini????ya kweli haya
Nisamehee baba mchungaji, Nabii Tito!Mkuu, waumini wakikuona jinsi unavyo nichafua mimi mtumishi, wallah utapa laana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, waumini wakikuona jinsi unavyo nichafua mimi mtumishi, wallah utapa laana
itafika lini uswazi nasikia ipo mbezi mikocheni na masakiNdio mkuu ipo town..ilikuwa official beer kule russia kwenye world cup
Kuna uzi mwingine wa visa vya pombe... mods