Tukumbushane visa vya pombe

Tukumbushane visa vya pombe

Kuna Mshkaji Wangu Mmoja Alikuwa Anakunywa Kwenye Kiduka Flank(hapo hapo anauza bia na bidhaa nyingine mf sukari,ngano,karanga etc), Sasa Kapiga Bia Halafu Kulipa Akawa Anazingua Yule Muuzaji Akasubiri Jamaa Akaenda Toilet Akachukua Bia (ilikuwa nusu) akaificha ,Mshkaji Kurudi Akamwambia Nipe Bia Yangu ,Muuzaji Akasema Sikupi Had Unilipe Hela Zangu Za Mwanzo
Jamaa Akawa Anahesabu Moja(nipe bia),Mbili(nipe bia),tatu(nipe bia) muuzaji kagoma,
Akafungua Zipu Akatoa M**o Akakojolea Unga Wa Ngano,Mchele,Karanga

Mkuu naomba nijue kitu gani kiliendelea baada ya apo
 
Kuna Mshkaji Wangu Mmoja Alikuwa Anakunywa Kwenye Kiduka Flank(hapo hapo anauza bia na bidhaa nyingine mf sukari,ngano,karanga etc), Sasa Kapiga Bia Halafu Kulipa Akawa Anazingua Yule Muuzaji Akasubiri Jamaa Akaenda Toilet Akachukua Bia (ilikuwa nusu) akaificha ,Mshkaji Kurudi Akamwambia Nipe Bia Yangu ,Muuzaji Akasema Sikupi Had Unilipe Hela Zangu Za Mwanzo
Jamaa Akawa Anahesabu Moja(nipe bia),Mbili(nipe bia),tatu(nipe bia) muuzaji kagoma,
Akafungua Zipu Akatoa M**o Akakojolea Unga Wa Ngano,Mchele,Karanga
[emoji23] [emoji23]
 
Mimi nimeshawahi kulewa nikaenda home mapema kabisa nikaingia chumbani nikajifungia kumbe nimemfungia wife aisee. Amekuja amegonga mlango mpaka asubuhi

Kitu kibaya kwangu kuhusu pombe ni kwamba nikishalewa tu kila mwanamke namuona mzuri yaani naweza gonga demu nikimuona kesho yake naona aibu. Haya mambo ya pombe kwa kweli ni balaa tupu. Natamani sana kuacha ila ndio hvyo tena [emoji19]
Hahaha..Wife ulimwambiaje kesho yake sasa mkuu??
 
ci-budweiser-fa5d013b6364dead.jpeg

nasikia hii bia ipo mjini????ya kweli haya
Ndio mkuu ipo town..ilikuwa official beer kule russia kwenye world cup
 
Nili lewa paka nika saau password yangu kwenye simu. Hahahah.
 
Back
Top Bottom