Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

Wachaga kweny uchezaji wa Mpira Ni ngumu kuwapata, kuna story niliwah kusikia Etiiii zaman Wachaga walikuwa wanacheza sana Mpira. Siku moja wakawa wanacheza na Timu kubwa Kwel sasa masawe akawa amewapiga chenga walinzi wa Timu pinzani jamaa akabaki na kipa peke yake, kuchek jukwaaan akaona nyomi y'all watu, jamaa ikabid akimbilie getini kuuliza mapato, aiseeee mushi mpaka sasa iv umeingiza sh ngap??? Mpaka Leo Hakuna mchaga anayetaka kucheza Mpira Kila mtu anataka agae getin akusanye hela!!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
 
tenga%2Bchuo.jpg

Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kushoto) akifurahia kwa vinywaji na wanafunzi wenzake wa Chuo Kikuu cha Dar e Salaam (UDSM) mwaka ya 1981.
Anakunywa safari larger
 
Lyatonga Mrema, alikua bonge la middle enzi zake pale Ushirika Moshi
 
Majina Hamna mkuu, hayafiki hata matatu... Ndo maana Mara mexime, Mara boban
Wafunge uzi, majina hayapo tujadili bangi anazovuta Haruna Moshi Bobani. Ivi bado yupo kule vingunguti, aangalie soba sio ya akina chidi benzi peke yao
 
Ni ngumu kuwapata wengi sana cause sifa kubwa kucheza mpira ilibidi uwe unavuta bangi au kutokwenda shule sasa bahati mbaya uchagani masekondari yakawai sana
 
Chagga(wachaga) ni moja ya makabila makubwa Tanzania. Limefanikiwa kujikita kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo biashara(zaidi), kazi, sanaa na burudani, michezo etc. Kwenye mpira wa miguu wachaga waliokuwepo au waliopo wenye majina makubwa sio wengi kutokana na upande wa kaskazini mpira haujawahi kuwa moja ya vitu interested sana kwao tangu enzi.
Ungekuwa na hela kwa hapa nyumbani wangecheza sana.
 
Back
Top Bottom