Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Wachaga kweny uchezaji wa Mpira Ni ngumu kuwapata, kuna story niliwah kusikia Etiiii zaman Wachaga walikuwa wanacheza sana Mpira. Siku moja wakawa wanacheza na Timu kubwa Kwel sasa masawe akawa amewapiga chenga walinzi wa Timu pinzani jamaa akabaki na kipa peke yake, kuchek jukwaaan akaona nyomi y'all watu, jamaa ikabid akimbilie getini kuuliza mapato, aiseeee mushi mpaka sasa iv umeingiza sh ngap??? Mpaka Leo Hakuna mchaga anayetaka kucheza Mpira Kila mtu anataka agae getin akusanye hela!!!!
Boban sio mnyamwezi Ni Mtu wa kigoma , sema Baba yake ameloea taboraIngawa sina uhakika lakini ninavyojua Bobani ni Mnyamwezi
Sio mnyamwezi ni kigoma one , ingawa mwenyewe hapendi ajulikane kama mtu kgmBoban ni mnyamwezi mpira uanmpenda ila yeye bangi anaipenda zaidi
Bonge la mchezaji huyo jamaaJohn Makelele "zig zag" ...
Ni Mparekumbe ni mchagga?
Anakunywa safari larger
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kushoto) akifurahia kwa vinywaji na wanafunzi wenzake wa Chuo Kikuu cha Dar e Salaam (UDSM) mwaka ya 1981.
Duh Boban bado ajaacha bangi. Duh kweli hatari sanaBoban ni mnyamwezi wa unyanyembe
Wafunge uzi, majina hayapo tujadili bangi anazovuta Haruna Moshi Bobani. Ivi bado yupo kule vingunguti, aangalie soba sio ya akina chidi benzi peke yaoMajina Hamna mkuu, hayafiki hata matatu... Ndo maana Mara mexime, Mara boban
Mchagga Wa kilema ila walihamia kilosa akiwa mdogo sanqYap!
Mchaga wa marangu kama sio kilema.
Haruna moshi sio mchaggaharuna moshi boban na patric betweli
Eagle zipo kwa kichwaMwingine ni mimi Apa Eric Shayo, nmecheza Manchester Utd, Arsenal, Liverpool zote za mjini Moshi....!
Coca inapendeza zaidi....!Eagle zipo kwa kichwa
Ungekuwa na hela kwa hapa nyumbani wangecheza sana.Chagga(wachaga) ni moja ya makabila makubwa Tanzania. Limefanikiwa kujikita kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo biashara(zaidi), kazi, sanaa na burudani, michezo etc. Kwenye mpira wa miguu wachaga waliokuwepo au waliopo wenye majina makubwa sio wengi kutokana na upande wa kaskazini mpira haujawahi kuwa moja ya vitu interested sana kwao tangu enzi.
liSio
Sio mnyamwezi ni kigoma one , ingawa mwenyewe hapendi ajulikane kama mtu kgm