Tukumbushane Wachezaji waliocheza ‘mbavu’ ya kulia katika Kikosi cha Simba SC

Tukumbushane Wachezaji waliocheza ‘mbavu’ ya kulia katika Kikosi cha Simba SC

Salum Kanoni nafikri alikuwa anacheza kushoto zaidi, hawa jamaa ndiyo Simba iliyomaliza ligi bila kufungwa.

Nyuma alikuwa George Owino na Kelvin Yondan au David Naftar
Kati alikuwa Jerry Santo na Hilal Echesa hatari sana
Simba iliomaliza lig bila kufungwa full back ilikua ivi salum kanon 2 juma jabu 3 4Joseph owino gera 5 na sio ((George daniel owino )) kelvin yondan wasidiz nyoso haruna shamte alikua junk tu David naftal pia ambae muda mwngne alikua anachezeshwa 10 au 9 jery Santo alikuja msim uliofata ila apo kati alikua echesa na Mohammed banka mbele au dimba la juu chombo redondo n.k
 
Back
Top Bottom